Moto wateketeza maduka matatu mkoni Mara

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Maduka matatu ya Mfanyabiashara Steven Gikaro mkoani eneo la Mtakuja mkoani Mara yaliyokuwa yamehifadhia vifaa vya ujenzi na kemikali yanateketea kwa moto.

Kmanda wa polisi mkoa wa Mara amesema moto huo umeanzia kwenye stoo ya stationeries, hakuna mtu aliyedhurika ila wananchi waliokuwa karibu wamelalamika zimamoto kuchelewa kufika eneo la tukioChanzo: Channel Ten
 
Back
Top Bottom