lutemi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,747
- 1,385
Kitendo cha wabunge wa ccm kumshambulia bila kumwelewa Tundu Antipas Lisu na wengine wakiwa wabobezi katika sheria, nimekaa na kutafakari kama kweli tuna mlengo wa kukomboa rasilimali za nchi hii Huwezi ukawa ccm. Kwasababu Leo jambo linaonwa ubaya wake badala ya kulipinga kwa pamoja tunawapinga wanao litetea kesho likinenwa na Kiongoz mkubwa jambo lile lile lililopingwa tunageuka na kushangilia na kueleza uzalendo. Wasomi mlioko ccm ambao Hamna makandokando kama
Husain bashe
Nape nnauye
January makamba
Mwigulu lameck nchema
Ondokeni ccm ingieni upinzani okoeni Taifa hili.
Nimewataja kwasababu naamini ninyi mkiungana na Tundu lisu mtakomboa nchi hii katika mikataba hii ya ajabu. Wekeni legacy katika nchi mapate kukumbukwa katika kizazi kijacho baada yenu.