Unapokuwa una hisia na kufanya jambo fulani kama unataka kucheka we cheka Tu,ukitaka kulia we lia usiangalie fulani atanionaje mimi nikifanya haya..kiafya huwa inasaidaia sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.