Hii ni topic tofauti na ile ya Kifyatu ya mlango wa nane.. Naileta hapa kwa mtindo wa screenshots na picha ili nisipoteze ubora wake... Ni topic ngumu na kwakweli Inahitaji kutulia kuweza...
Nilisikiliza Madai ya Askofu Gwajima Dhidi ya Tapeli mmoja aitwaye Prophet Bushiri. Jinsi ambavyo anatumiwa Kutabiri ati Lowassa atakufa.
Wasichojua watu wengi Ni kuwa Wengi wa wanaoitwa...
Wadau Nilipenya Kwa Mara Ya Kwanza Mombasa Miaka Miwili Iliyopita Kibiashara.Nilifika Jioni Nikalala Guest Ya Msomali Shs 600 Kshs.Asubuhi Nikazama Hotel Flani Kujidunga Supu Nyama Ikaletwa Mifupa...
Ukisoma injili ya mathayo 21.43 inasema ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake lenyewe.Je taifa hilo ni lipi?
Jamaa yangu kapata mkasa anashitakiwa na mtoto wa mdogo wake akitaka urithi wa nyumba iliyojengwa na baba yake hiyo imekaaje kisheria?
Kisa ni kuwa mzee mmoja alikuwa na watoto wawili...
Nimekuwa na safari nyingi kwa upande wa kanda ya ziwa, ila safari yangu hii ya mwisho nilijikuta nikipigwa na maswali baadhi lakini hili nilikosa kulipatia ufumbuzi.
je? watu wenye makazi juu ya...
Kuna picha za kutisha tunazo ziona zinazo tokea kwenye nchi zisizo salama, hizo picha tukiziona mitandaoni, hazitushangazi kwa vile nchi hizo hazina usalama kwao kujeruhi,kuuwa,kubaka hata Kula...
Habari wakuu,
Baada ya mihangaiko ya kazi,nimeamua kufikiria kujiajiri mwenyewe.
Nimevutimiwa na mji wa Kahama,
kwa wadau wanaofahamu au wanaokaa mji huu naombeni mnijuze fursa katika mji huu...
Anaaandika Markus Mpangala
Suala la wanafunzi wanaopata ujauzito kuendelea na masomo au la, ni suala la 'kisera'. Ni sera ndio zinazungumza hayo masuala na sio kauli za jukwaani.
Andaa sera...
Kama kuna CRDB bank employees ujumbe huu naomba muufikishe kwa mabosi wenu.
Network yenu haieleweki, wiki iliyopita network kwangu ilizingua ndani ya siku kama 3 hivi kila nikijaribu bilabila...
Serikali ...mnachangia kwa kiasi kikubwa kwa dada zetu wanaosoma vivijini kupata mimba
sababu mazingira yao mliowatengenezea si rafiki kabisa...mtoto anatembea masaa 3 mpaka 4 kutoka nyumbani...
Jana alipokuwa katika Ziara ya Kujitambulisha huko Visiwani Zanzibar Mkuu mpya wa Jeshi la Polisi nchini IGP Sirro alisikika na kuonekana akiwa na hasira sana aliposema kuwa namnukuu “ Sitaki...
Toka kazaliwa alikuwa na nywele chache nyuma ya kisoga tu na sehemu zingine hakuna nywele. Na sasa ana miaka 2 na miezi kadhaa. Napenda apate nywele, Je kuna dawa au vyakula gani anatakiwa kula...
Nashindwa kuelewa kwa nini BBC Swahili tawi la Tanzania wamekuwa namna hii, hii tabia yao ya kubagua wanafunzi wa field kutoka vyuo vingine na kukubali wa UDSM tu si sahihi,
Mnaua ndoto za vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.