Taifa hilo ni lipi?

Taifa hilo ni lipi?

Jegeto

Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
18
Reaction score
23
Ukisoma injili ya mathayo 21.43 inasema ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake lenyewe.Je taifa hilo ni lipi?
 
Taifa lenye kuzaa matunda yake lenyewe??Ni lipi hilo?ni matunda gani hayo??
 
Back
Top Bottom