Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna document hapa ofisini kwetu hazipatikani kisa hakuna anaekwenda kuchukua.Lakini wapo wanaokwenda huko kila mara lakini hata kujitolea kuzichukua hawafanyi hivyo.Document zenyewe hata kilo 20...
0 Reactions
1 Replies
686 Views
Sisimizi (mdudu chungu) aliwaambia wenzake ; "Ingieni mashimoni kwenu asije akakukanyageni Mfalme Suleiman na majeshi yake" Ndiyo na hiki ndio kilichopo sasa, nilikuwa stendi nikijiandaa kwa...
1 Reactions
1 Replies
736 Views
Watoto wawili wa familia moja wakiwa wamelala wameteketea kwa moto uliounguza nyumba yao katika mtaa wa Kirumba jijini Mwanza. Kamanda A. Msangi amethibitisha.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mussa Salim asema Sikukuu ya Eid El-Fitri ni Juni 25 au 26 na swala itaswaliwa katika uwanja wa Mnazi Mmoja. Taarifa rasmi kutoka Baraza Kuu la Waislam...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Naamini mtazamo wa raisi Magufuli haiwezi kuitwa sheria ya nchi Naamini kama itatokea mtoto wa hakimu au advocate akapata ujauzito na mwalimu mkuu akawa na kiherehere cha kumfukuza shule hiyo...
0 Reactions
2 Replies
954 Views
Katika maisha kuna tofauti ambazo huwa zinajiktokeza baina yetu. Kuna wakati unaona kabisa mtu anakosea,anaudhi na anaenda mrama (kinyume) sana kwa namna ambavyo unategemea aikune roho yako...
0 Reactions
3 Replies
967 Views
Habari tajwa hapo juu zilibamba Sana hasa miezi ya hivi karibuni, suala la Makonda ndo lilikonga nyoyo za vyombo vya habari, zikaja habari za Madawa ya kulevya, zikapotea, hivi majuzi mambo ya...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Mamlaka ya Mawasiliano nchni-TCRA kwa kushirikiana na Jeshi la polisi limewataadharisha Viongozi wa serikali mkoa wa Dar es Salaam kuwa makini na ukuaji wa teknolojia katika kutunza mali na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni lini Serikali itatoa majibu ya rufaa ya vyeti feki kwa wenye kufahamu. Maana mishahara ya Watumishi imesimamishwa sasa Mwezi wa pili pasipo kupewa majibu yeyote kwa waliokata rufaa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maalim Seif awapa moyo wafanyabiashara Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad jana usiku umewatembelea wafanyabiashara wa Zanzibar na kusikiliza maoni yao juu ya hali...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakazi wa Ibila Kagera wakimbia nyumba zao kuhofia kuungua moto ambao chanzo chake hakijulikani. Baadhi ya wananchi wa kitongoji cha Ibila kilichoko katika kata ya Mayodwe iliyoko wilayani...
2 Reactions
35 Replies
9K Views
Habari yenu wana JF mimi sipendi kusalimia sana maana dk zangu nichache ila ningeombatu kuuliza kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo kwamba mwanzo humu JF kulikua na jukwaa la sheria ila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Lushoto, Tanga. Watu wawili ambao ni mtu na mkewe wamefariki dunia wakati wakipata matibabu kwenye zahanati baaada ya kunywa chai inayohofiwa kuwa ilikuwa na sumu. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Trafiki polisi wa VETA wanaudhi katika suala kuruhusu magari. Wanachelewesha raia kufika kazini asubuhi na kurudi majumbani jioni. Wanaporuhusu gari zinazoelekea Mbagala na zinazoelekea...
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Barabara hii ni muhimu sana kama itajengwa kwa kiwango cha lami. Itaunganisha mikoa ya kusini na Dodoma. Bidhaa kama cement ya Dangote itawezafika Dodoma na mikoa mingine kwa gharama nafuu hivyo...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Alitoa agizo hilo jana alipofungua barabara ya Msata-Bagamoyo yenye urefu wa kilomita 64 na kubainisha kuwa tangu kujengwa kwa kiwanda hicho, ni halmashauri nne tu zilizonunua dawa hizo kutoka...
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Katika jiji la Dar es Salaam nadhani hili linaongoza hasa kwa wale tunaotumia usafiri huu ambao ustaarabu ni zero, unakuta mtu umesimama kituoni masaa mawili kusubiri daladala, alhamudulilah...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka maofisa wa Mamlaka ya Kodi ya Mapato Tanzania (TRA) wakusanye kodi za majengo kwa kuzingatia sheria na wasitoze kodi ya majengo wazee wenye umri zaidi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujua kama Mutalemwa wa DAWASCO ameshaondoka. Alimwaibisha sana, Mungu yupo naye lakini.
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Khaa! Juzi kati hapa nilikuwa sina hata sh hasini mfukoni kwangu. Basi nikachukua suruali zangu nikaanza kukung'uta moja baada ya nyingine nione labda kuna ka hela niliwahi kukasahau. Ile wakati...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom