Fursa gani zipo katika mji wa Kahama?

afebris

Member
Nov 17, 2015
96
225
Habari wakuu,

Baada ya mihangaiko ya kazi,nimeamua kufikiria kujiajiri mwenyewe.

Nimevutimiwa na mji wa Kahama,
kwa wadau wanaofahamu au wanaokaa mji huu naombeni mnijuze fursa katika mji huu either za biashara au uwekezaji.

pia napokea ushauri mji mwingine mwenye fursa nzuri.

nashkuru.
 

LUCKDUBE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
1,774
2,000
Nunua boda boda kisha tafuta vijana wa kuwaajili wawe wanakulipa kiasi flani cha pesa.. hii biashara inasoko sana,
Pia
Biashara ya kupangisha nyumba inalipa sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom