Nilifurahishwa Sana Na Nyama Ya Mombasa.

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
939
1,000
Wadau Nilipenya Kwa Mara Ya Kwanza Mombasa Miaka Miwili Iliyopita Kibiashara.Nilifika Jioni Nikalala Guest Ya Msomali Shs 600 Kshs.Asubuhi Nikazama Hotel Flani Kujidunga Supu Nyama Ikaletwa Mifupa Ipo Sguare Yani Haijavunjwa Vunjwa Bila Mpangilio.Ama Kweli Tembea Uone.Nikapita Sehemu Flani Nikakuta Watu Wamepanga Foleni Wakisubiri Kuingia Sehemu Flani Kupata Huduma Kwa Malipo Ya 1hundred 1minute Ambayo Sijaifahamu Mpaka Leo.Nitarudi Kenya Asee
 

mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,523
2,000
Mkuu;
Kule kila kitu ni kidigitali zaidi. Ukisikia ni 1 min ni 1 min kweli hivyo ukikolewa waweza nyang'anywa kila kitu na hawanaga huruma. Huduma ni sawa na mfuko wako
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom