8th house(nyumba ya nane)

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,826
730,269
Hii ni topic tofauti na ile ya Kifyatu ya mlango wa nane.. Naileta hapa kwa mtindo wa screenshots na picha ili nisipoteze ubora wake... Ni topic ngumu na kwakweli Inahitaji kutulia kuweza kuifahamu na baada ya maelezo yake unaweza kujifahamu uko nyumba ya ngapi kwenye mpangilio wa nyota kwenye mahusiano na kwenye maisha
 
1454772852707.jpg
1454772862579.jpg
1454772871665.jpg
1454772906763.jpg
1454772916344.jpg
1454772927624.jpg
 
Hii ni topic tofauti na ile ya Kifyatu ya mlango wa nane.. Naileta hapa kwa mtindo wa screenshots na picha ili nisipoteze ubora wake... Ni topic ngumu na kwakweli Inahitaji kutulia kuweza kuifahamu na baada ya maelezo yake unaweza kujifahamu uko nyumba ya ngapi kwenye mpangilio wa nyota kwenye mahusiano na kwenye maisha
Mkuu nadhan hapa umeelewa we pekeako tu,na ni kwasabab umeleta wew huu uzi.Angeleta mwingine huenda nawe ungekuw hujaelewa.
Em'lete ufafanuzi ili twende pamoha
 
Mhh hapa naona kama nyota nyota tu mshana jr tunakuomba utuelezee japo nasi tuelewe hapo kila nikijaribu fatilia sioni maana yake

Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
 
make it easy..

wengine tumeishia std 7 hatujui kiingeleza

Jamani hata kama una degree bila ufafanuzi hapa tutakesha wetu wanapewa pier 22 chini ya 7 na bado wanachemsha itakuja kuwa hii?mshana jr fanya jambo sijawahi kukutana na kitu hiki ilmu ya unajimu inahitajika hapa.
Ngojeni leo nitulie nitakuja na ufafanuzi lakini kwa kuanzia ni kwamba
Nyumba ya nane ni nyumba ya fursa sawa kingono kifo na kiuzazi kwenye uwanja huru wa uwajibikaji na umuhimu wa wa utangamano wa vyote vitatu
Tunapitia kifo na uzazi kama sehemu muhimu ya maisha yetu! Tunapita katika nyakati za mawasiliano butu yasiyo na tija yaliyoishia njiapanda na kila mmoja akaenda njia yake na huko tuendako tukakutana na mahusiano yenye muingiliano sahihi na furaha kurudi upya
Ni katika huu mtanziko wa mahusiano yaliyofika njiapanda na kugawanyika mtu hujihisi kubadili mfumo wa maisha ili kufuta kumbukumbu za historia ya nyuma (ni kujidanganya)kubadili hata ajira makazi na hata vitu kama marashi mziki mitindo na mavazi
Kifupi nyumba ya nane inachukuliwa kama nyumba ya ngono na mahusiano muingiliano wa kiasili na jamii husika..nyumba ya nane ni kichocheo cha mafanikio umaarufu bahati utajiri cheo na kupendwa
 
Mkuu nadhan hapa umeelewa we pekeako tu,na ni kwasabab umeleta wew huu uzi.Angeleta mwingine huenda nawe ungekuw hujaelewa.
Em'lete ufafanuzi ili twende pamoha

Mhh hapa naona kama nyota nyota tu mshana jr tunakuomba utuelezee japo nasi tuelewe hapo kila nikijaribu fatilia sioni maana yake

Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
Hii mada nikiri ni maji ya shingo hata kwangu natamani muielewe kama mimi ninavyoielewa nitajitahidi kuirahisisha zaidi kwa faida ya wengi
 
Ngojeni leo nitulie nitakuja na ufafanuzi lakini kwa kuanzia ni kwamba
Nyumba ya nane ni nyumba ya fursa sawa kingono kifo na kiuzazi kwenye uwanja huru wa uwajibikaji na umuhimu wa wa utangamano wa vyote vitatu
Tunapitia kifo na uzazi kama sehemu muhimu ya maisha yetu! Tunapita katika nyakati za mawasiliano butu yasiyo na tija yaliyoishia njiapanda na kila mmoja akaenda njia yake na huko tuendako tukakutana na mahusiano yenye muingiliano sahihi na furaha kurudi upya
Ni katika huu mtanziko wa mahusiano yaliyofika njiapanda na kugawanyika mtu hujihisi kubadili mfumo wa maisha ili kufuta kumbukumbu za historia ya nyuma (ni kujidanganya)kubadili hata ajira makazi na hata vitu kama marashi mziki mitindo na mavazi
Kifupi nyumba ya nane inachukuliwa kama nyumba ya ngono na mahusiano muingiliano wa kiasili na jamii husika..nyumba ya nane ni kichocheo cha mafanikio umaarufu bahati utajiri cheo na kupendwa
Si unaona sasa hapa kidogo ufahamu unaanza kuja na utamu na tashishwi ya kutaka kujua zaidi unanijia thanks brother.
 
Hapo mkuu nimekupata nshaielewa shukran kwa kinielewesha

Back
Top Bottom