Tuwasaidie wanawake dhidi ya wahubiri feki

GREENER

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
613
1,000
Huyo dada na yy alikua na hamu tu, hayo maneno ya mtumish si ya kumdanganya mtoto wa chekechea?? Iweje mtu mzma mwenye umri wa kuolewa adanganyke kirahis hvo?? Asituletee mapichapicha, aeleze ukwel ili asaidiwe, eti vua nguo nikumwagie maj ya uzima, na yy kavua, lol, aache ubabaifu watu tupo bize na viwanda.
 
J C

JF-Expert Member
Dec 12, 2013
2,567
2,000
Alafu mleta mada tafadhari acheni tungo za uongo dini unazozisema za kisasa ni hawa manabii ambao wanatumia maji wanayoyaita ya upako na sio ya baraka ya baraka wanatumia wakatoliki labda utuambie mwathirika huyu alikutana na baba paroko akamtia maji hayo kunako.
 
atlas copco

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
4,153
2,000
Na unakuta hawatuletei sadaka zao ili kuchangia huduma tupate japo pikipiki kusaidia huduma vijijini, wanawaendea matapeli
Nyie ndio wale wale bhana hamna kitu,nina rafiki yangu mmoja na yy ameokoka anashinda kanisani daily,kuna siku nilimwalika mahali tupeane ushauri nikamwuliza una mpango gani una familia lkn 24/7 upo kanisani hao watt unawaandalia maisha gan,alichonijibu "mm na familia yangu tunakula madhabahuni kwa bwana sikutaka kuongea tena niliamini wachungaji wa kilokole wote wapo kibiashara na wanawake wengi ndio wahanga
 
kamwamu

JF-Expert Member
May 18, 2014
2,475
2,000
Serikali haina dini, lakini ina wajibu wa kuhakikisha raia wake(wasio na uwezo wa kujitambua) hawadhurumiwa kupitia mgongo wa dini. Deni leo ni utapeli na walengwe ni hao uliowataja.
 
Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,030
2,000
Nyie ndio wale wale bhana hamna kitu,nina rafiki yangu mmoja na yy ameokoka anashinda kanisani daily,kuna siku nilimwalika mahali tupeane ushauri nikamwuliza una mpango gani una familia lkn 24/7 upo kanisani hao watt unawaandalia maisha gan,alichonijibu "mm na familia yangu tunakula madhabahuni kwa bwana sikutaka kuongea tena niliamini wachungaji wa kilokole wote wapo kibiashara na wanawake wengi ndio wahanga
Mkuu sisi kanisa letu ni la pili kwa ukubwa duniani. Sio makanisa ya vichochoroni. Kwetu tuna utaratibu maalumu wa utoaji huduma kwa ngazi zote za kanisa
 
atlas copco

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
4,153
2,000
Mkuu sisi kanisa letu ni la pili kwa ukubwa duniani. Sio makanisa ya vichochoroni. Kwetu tuna utaratibu maalumu wa utoaji huduma kwa ngazi zote za kanisa
Mm sijui bhana ila kwa upande dini ninayoitambua ni RC ndio imani yangu ipo hapo then Islam,Lutheran na Sabato hizo nyingine no kwa kweli,hata watu wangu wa karibu nimewaambia ukisikia nimebadili dini basi nimeenda Islam si kwinginepo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom