Watu wenye makazi juu ya vilima vya jijini Mwanza na Bukoba wanafanyaje kudhibiti uchafu

matemabi

Senior Member
May 2, 2017
113
145
Nimekuwa na safari nyingi kwa upande wa kanda ya ziwa, ila safari yangu hii ya mwisho nilijikuta nikipigwa na maswali baadhi lakini hili nilikosa kulipatia ufumbuzi.

je? watu wenye makazi juu ya vilima vya jijini mwanza na bukoba na penginepo wanafanyaje kuruhusu uchafu wa vyooni.

1) kwakuwa vilimani huko kuna miamba mingi huwezi chimba kwa kina kirefu mashimo ya vyoo vyao yanawezaje kukizi haja zao?

2) kama kweli wanachimba mashimo yanayowezekana kabisa kuwa mafupi... hakuna uwezekano wa magonjwa ya mlipuko sana haswa pale mvua zinaponyesha?


3) kama wana fanikisha kuchimba mashimo marefu wale waliopo ndani ndani yaani concentrated settlements yale magali ya kukusanya uchafu huwafikiaje hao watu?

4) je serikali huwapimia hawa watu viwanja kule juu?

hayo ndio maswali yangu ningependa kueleweshwa...
 
ingekuwa na picha ingependeza zaid
Hii ni baadhi ya mitaa ya bukoba buyekera
39f4b1e56d78a21bbd339e5be7523917.jpg
nyakanyasi
bab4a72a276ea26d42ea738863174e56.jpg
kilimahewa na kyanyi ihungo
df862ce02534b4cf307bb807cd1897ec.jpg
 
Back
Top Bottom