Wanafunzi wa vijijini umbali mrefu wa kwenda shule ..Je serikali si chanzo cha wao kupata mimba.

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
393
250
Serikali ...mnachangia kwa kiasi kikubwa kwa dada zetu wanaosoma vivijini kupata mimba

sababu mazingira yao mliowatengenezea si rafiki kabisa...mtoto anatembea masaa 3 mpaka 4 kutoka nyumbani kwenda shule... Kwa wao kuepuka kutembea muda mrefu inawabidi kusisima barabarani kuomba lifti kwenye malori ya mchanga au mizigo...gari ndogo...

Sasa kwa hali hii unategemea nini???

Mnawanyika elimu ndugu zetu..ila mnatambua kabisa mazingira waliyonayo ya shawishi wao kupata mimba.
 
fazam

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
1,688
2,000

kumbe wakinadada wakitembea sana wanapata mimba
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom