Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Khaa! Juzi kati hapa nilikuwa sina hata sh hasini mfukoni kwangu. Basi nikachukua suruali zangu nikaanza kukung'uta moja baada ya nyingine nione labda kuna ka hela niliwahi kukasahau. Ile wakati...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
salaam... kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Hii taarifa imetolewa na world bank (WB), uchumi wetu wa Tanzania unakua kwa kasi ya 7.2% kwa mwaka huu 2017. Hivyo kuifanya Tanzania kuwa ya 5...
10 Reactions
74 Replies
5K Views
Mada yahusika, Ningependa kutajiwa jina na hata website ninapoweza upakua! Thanks in advance!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauliza hivi bado bunge linaendela? Linajadili nini kwa sasa? Of what use and effect? Nadhani mamlaka ya pesa yako kwa mtu mmoja, wanajadili nini?
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nilikuwa napitia website ya tcu nkakutana na tangazo la scholarship za Algeria, moja ya vipengele ambavyo wao kama nchi wanaidhamini Tanzania kupeleka wanafunzi wao katika category ya religious...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari wana JF, Rejea Kichwa cha habari tajwa hapo juu. TBS wameonesha ubaguzi mkubwa Sana katika hilo tangazo Kwa kigezo cha transcripts zisiwe zimezidi mwaka mmoja tangu mwanafunzi alipo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kumbe Mwingereza David Beckham anapitwa kiingereza na akina Malisa, msikilize hapa akitoa pole kwa shambulio la Paris mwaka 2015 audioBoom / 'On behalf of myself and everyone involved, we all send...
3 Reactions
83 Replies
12K Views
Dalili nzuri ya kukuza utalii wetu
4 Reactions
79 Replies
16K Views
Malengo Makuu ya Tanzania Mineral Audit Agency (TMAA). Hii ndio mamlaka iliyopewa dhamana na watanzania kuhakikisha mambo ya madini yanaenda sawa kwa kadri ya sheria na kanuni za nchi, ila...
5 Reactions
115 Replies
27K Views
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo amesema kuwa hahusiki na mikataba yote ya madini.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo amesema hahusiki na mikataba ya yote ya madini. Muhongo alitoa maelezo hayo jana, ikiwa si siku moja baada ya Nipashe kuripoti...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wadau wenzangu, nyumba inayoonekana hapa ni ya vyumba vitatu (viwili ni master rooms) ina sebule kubwa, dining, car park, public toilet, jiko, store mbili na ina eneo kubwa (linaweza kulimwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Napenda kutoa malalamiko yangu juu ya ubovu wa barabara ya bandari kule TPA Kurasini. Tafadhali Mamlaka husika tunakerwa na ubovu wa barabara ile na hasa nyakati zingne inaonekana kuna watu...
1 Reactions
6 Replies
930 Views
Inaboa aisee inaboa sana, ina maana hakuna hata mfanyakazi mmoja wa TBS anaekunywa bia? Hii harufu ya kutu ninayoisikia nikinywa bia ni mimi tu au na wengine mnaisikia? Watengenezaji wa bia za...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Naamin kama serikali ikitoa maamuzi kwamba vyombo vyote vya usafiri vitumie risiti za EFD hasa vya mikoani vya majini na nchi kavu, yaani mabasi makubwa kwa madogo haya ya route fupi za ndani ya...
7 Reactions
65 Replies
7K Views
JF, Kuna ajari nyingi huwa zinatokea maeneo ya dawasco na kituo cha mafuta boko, hizi ajarizinatokea mahari ambapo matrafik husimama kukamata magari. Kiini cha tatizo hili sugu nini nini?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo jioni kuanzia saa mbili kasoro ishirini, yaani saa moja na dakika arobaini (1:40 or 7:40pm) satelaiti angavu sana iitwayo International Space Station (ISS) intaonekana angani, ikitokea upeo wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii ni topic tofauti na ile ya Kifyatu ya mlango wa nane.. Naileta hapa kwa mtindo wa screenshots na picha ili nisipoteze ubora wake... Ni topic ngumu na kwakweli Inahitaji kutulia kuweza...
3 Reactions
97 Replies
11K Views
Nilisikiliza Madai ya Askofu Gwajima Dhidi ya Tapeli mmoja aitwaye Prophet Bushiri. Jinsi ambavyo anatumiwa Kutabiri ati Lowassa atakufa. Wasichojua watu wengi Ni kuwa Wengi wa wanaoitwa...
27 Reactions
205 Replies
33K Views
Back
Top Bottom