Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

CCM wapiga marufuku takrima Tausi Mbowe CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimepiga marufuku wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya jumuiya zake na wapambe wao kwenda mikoani na wilayani...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Serikali imepanga kupandisha mishahara mipya 20007/2008 ya watumishi wa umma kwa kiwango cha shilingi 5,000 mpaka 9,000 tu kwa kila mtumishi, wakati huo huo vyama vya wafanyakazi na watumishi...
0 Reactions
112 Replies
19K Views
Nimepata habari kwamba moja ya ndege ya kampuni ya atc huko mjini mwanza imelazimika kusitisha safari yake baada ya kupata madhara katika engine wakati ndege hiyo ilipotaka kuruka na ndege...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Milioni Dar zabebwa mchana 2008-09-05 16:06:10 Na Sharon Sauwa, Ilala Watu watatu wanaodhaniwa kuwa majambazi, wamevamia mchana kweupe katika ofisi za duka moja la vifaa vya ujenzi na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
..MOD naomba hata kama hii mada itabidi kuiunganisha ikae kwa muda...... wadau lengo la kuiweka hii thread tofauti kidogo na thread mama ..ni kuchokoza mada.... taarifa tunazopata kutoka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Don’t let unearned praises lead us down a slippery path Young Kimaro Daily News; Friday,September 05, 2008 @20:02 A LAW maker recently chided donors for having heaped praises on the Third...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wazee wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki wakidai mafao yao Ikulu leo. (picha kwa hisani ya Michuzi)
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Reggae is my Identity. My Best Music is Reggae. This is music the music that I identify with and feel comfortable listening to it. I do find it educating and also representative to my background...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
DV-2010 Lottery Starts Soon! The DV-2010 Lottery begins at Noon EDT on October 2, 2008, and ends at Noon EST on December 1, 2008. You can visit http://www.dvlottery.state.gov...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimepata habari kwamba moja ya ndege ya kampuni ya atc huko mjini mwanza imelazimika kusitisha safari yake baada ya kupata madhara katika engine wakati ndege hiyo ilipotaka kuruka na ndege...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Matukia ya shule za bweni kuungua moto yanazidi kuongezeka nchini, jambo linalotia wasiwasi wazazi ambao wanapenda watoto wao wasome shule za bweni. Yapo matukio mengi ya shule kuungua...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hali ya hewa katika jiji la Dar es Salaam ni ya mvua ya rasharasha. Haieleweki ndio mvua masika inaanza au nini? Kama ndio masika watu wa hali ya hewa waanze kutoa tahadhari kwa watu wa mabondeni...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
ZIPO hisia kuwa imefikia wakati wa kuchambua na kunyambua ni nini hasa wabunge wa Bunge linaloitwa la Taifa wawe wanazungumza wanapokuwa wanalipwa posho nono wakati wa vikao muhimu vya kitaifa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Vigogo TAZARA wasimamishwa kwa tuhuma... 2008-09-05 09:18:17 Na Thobias Mwanakatwe, PST, Mbeya Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara), Clement Muya na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The road disappeared soon after it was (reportedly) constructed at the cost of Tsh. 100 million. It is one loss that the residents of Maji-ya-chai ward are not about to take lightly. According to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
LETS SING LOUD. TANZANIAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA. That is why we have a song to celebrate this.... Tanzaniaaa Tanzaniaaaa!! Nakupenda kwa moyo woooteee...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wananchi wagoma kupokea mradi wadai una harufu ya ufisadi Na Daniel Mjema, Hai Mwananchi WAKAZI wa Kijiji cha Mtakuja, jana walimweka kiti moto Mbunge wa Jimbo la Hai,Fuya Kimbita...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Maofisa BoT kutaja vigogo Mwandishi Wetu Septemba 3, 2008 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo Ni walioshinikiza kupitishwa kwa nyaraka feki MAOFISA wa Benki Kuu (BoT) ambao wanatajwa...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
NAPENDA muwasiliane na Kapteni Othamni Omari Msekeni ili kumsaidia katika juhudi zake za kuwakomboa Watanzania masikini na hasa wakulima, wavuvi na wafugaji vijijini. Bwana huyu ametengeneza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MAMBO mengi makubwa huko Amerika chanzo chake ni tafiti na ugunduzi uliofanywa na wanajeshi wa nchi hiyo. China, Russia, Korea na Japan hali kadhalika sehemu yao kubwa ya maendeleo imetokana na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom