Shule Ya Msingi kufungwa kwa kuogopa Mapepo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shule Ya Msingi kufungwa kwa kuogopa Mapepo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Msongoru, Aug 29, 2008.

 1. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2008
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni hapa hapa Dar es salaam, katika Shule ya Msingi Mkunguni ambako watoto wapatao tisa walianguka juma lililopita kwa mapepo. Juzi zaidi ya wanafunzi 20 walianguka na kupoteza fahamu huku wengine wakiweweseka na kutaja maneno ya vitisho. Kwa kile kinachoelezwa kuwa mapepo, waalimu na hata wazazi walishauri shule hiyo ifungwe hadi wapate kwanza ufumbuzi wa swala hilo!!

  Jamani hali hii itaendelea hadi lini? Mbona inzaidi kushika kasi? Muafaka wake ni nini? Mi yangu macho?
   
 2. M

  Masatu JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Serikali yetu haiamini mambo ya kishirikina
   
 3. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hawajapata chanjo hivi karibuni? Nasikia chanjo zinaua kweli siku hizi.
   
Loading...