Jamaa juzi kwenye blog yake akasema anakwenda Dodoma kwenye vekesheni
Leo anapost images alizochukua Dodoma kuonyesha baadhi ya wakereketwa wa CCM wakiunga mkono hotuba ya mheshimwa. guess what!? title inasema SPICHI YA JK BUNGENI YAUNGWA MKONO DODOMA
Michuzi kama ndio unawaita wananchi wa Dodoma basi CCM kweli imefikia tamati
Hebu angalieni waandamanaji kwenye hizi video
Unaweza hata kuwahesabu
http://dailynews.habarileo.co.tz/st...nDodomainapublicrallyonAugust262008.flv&id=83
Michuzi kaa ujue kwamba nguo unaweza kuiweka viraka ikiwa imechanika kidogo lakini kama ndio imeshaoza basi hata uweke viraka lakini itazidi kukufedhehesha hadharani.
Na hii ndio inayoonyesha video zako ulizopost kwenye hio tovuti yenu.