Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

wadugu bloggers Ninatatizwa na gharama za umeme na Mkaa kwenye kupikia, naomba kama kuna anayejua gharama za mtungi mmoja wa gesi na wapi naweza kuipata hapa Dar. Mkaa sio bei sana lakini sio...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Na Muhibu Said CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza azma ya kufanya maandamano ya amani hadi ubalozi wa Kenya nchini hapa, kulaani matokeo tata ya Uchaguzi Mkuu yaliyompa...
0 Reactions
62 Replies
9K Views
Naomba msaada, Wakati twaongelea kubadilisha mwelekeo wa utendaji na uongozi wa nchi yetu, kuna hii habari kuwa Kamati ya Maendeleo ya Kagera imeona kuwa Mkoa uvunjwe pande mbili kurahisisha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Afrika tuna sifa ya kuongozwa na wazee sana. Vile vile idadi ya viongozi wa Afrika ambao wamekuwapo madarakani kwa zaidi ya miaka 10 ni kubwa kidogo. Kama nchi nyingi zilivyoanza kuwa na term...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Sijui kama habari hizi ni kweli, lakini kama ni kweli Watanzania tuna hali mbaya. Yasemekena kuwa kwenye kikao cha Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichochagua uongozi mpya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Govt shelves new power tariffs hike? -New rates did not take off on Jan. 1 as scheduled, as Mainland, Zanzibar officials still mulling over possible repercussions THISDAY REPORTER Dar es...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa kaharibu kweli?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naukumbuka msiba wa babu,wakati wa kula ulipowadia, Sinia la ugali mkubwa, bakuli la mboga pembeni Wanaume kumi wamelizungunguka,mtoto mimi peke yangu, Bakuli la maji ya kunawa lawadia.Ile nataka...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jamani nauliza, JK amerudi tena porini Arusha kuendelea na likizo, kuna nini? au ndio anapika mabadiliko? anayatoa lini? au ndi kuponda raha?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ref : Bernadetha Mushi, mama sarah, soma kwa makini, yolimo leo kuhusu pesa za watoto wangu unazo kata kuoa . Mama sarah leo , tunaingia mwaka mpya , email hii haitakuwa ma maneno mengi, Soma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
For a while now i have been trying to understand this term 'fastest growing economy' from an african perspective..We all know South Africa is Africa's Economic powerhouse, we were once told...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Zitto: Sijatumia maneno ya kejeli na Salehe Mohamed Tanzania Daima MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (CHADEMA), amesema maneno yaliyomo kwenye barua aliyomwandikia Spika Samuel Sitta...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je wewe unasemaje kutokana na hii habari ? Africa's new bloodstained gems Children dig for tanzanite, coltan in dangerous mines...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MegaPyne
First Post of the Year And for those who really dont care that much You can listen the latest bongo falva click here or the Oldies (Zilipendwa) click here
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ili waweze kuondoa CCM Madarakani.
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Bado mimi ni mgeni hapa JF na najaribu kutafuta njia za kupezi nk. -Nilijikuta natuma thread mara ya kwanza badala ya ku reply kwenye post. Hata hivyo nimeona jinsi gani forum hii inavyo pangua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Siri nzito yafichuka 2007-11-19 08:23:47 Na George Ramadhan, PST Mwanza Fedha nyingi za halmashauri zinazotengwa kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo, zimedaiwa zimekuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kampuni binafsi za ulinzi nchini, zimekataa kulipa kima kipya cha mshahara wa Sh. 80,000 kwa wafanyakazi wake, licha ya serikali kuagiza viwango hivyo kulipwa na sekta binafsi kuanzia Januari...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nyoka nyuma ya TSh 500 anamaana gani?
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Back
Top Bottom