Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Conservative Bible Project Cuts Out Liberal Passages By Rachel Weiner "Huffington Post" Lo and behold, the Bible has gotten too liberal, according to a group of conservatives. And it needs a...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mimi kero yangu ni kuhusu matukio ya kiharifu yanayofanywa na raia mbele ya nyuso za askari pale daraja la Selander bridge,hivi ni kweli vibaka wamefikia kudharau jeshi la polisi kiasi hiki? Au...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Naam, Umekuwa mwanachama au msomaji tu wa JF huenda umeipenda tovuti hii na ungependa wenzako waifahamu. Usisite, fanya hivyo sasa, tumekuwezesha kufanya hivyo na tunaamini utaitumia fursa hii...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Si siri kuwa mwanadamu anapokosa umeme (katika dunia ya sasa) hulalamika na kuona kama kila kitu kimekwama. Hii ni kwa wale ambao wanaishi mijini ambapo wanapata umeme... Ni kweli, sote...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu JF, Ninaomba kwa yeyote anayefahamiana na wataalamu wa kupima mashamba kwa ajili ya hati aniunganishe nao au anipe contact na details zao.Hata kama ni mwana JF itakuwa ni jambo jema...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kortini kwa kubakia msikitini Mashaka Kibaya Manyara MHUDUMU wa msikiti wa Babati Mjini, Athumani Mdoe Sogora, 30, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa kiume mwenye...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Mods , mi natumia computer la kizamani sana,ambapo kuscroll up lina"stack na kunipotezea hela zangu nyingi kwenye cafe!Hebu angalieni uwezekano wa kuweka kitufe cha "NEW POSTS" chini ya page...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hivi kwa nini maana halisi ya jiji la daresalaam inapotoshwa?utasikia watu wengi wanasema maana ya jiji la daresalaam ni bandari salama.... wakati maana halisi ya daresalaam ni PEPO YA...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nilifanikiwa kukumbana na ramani ya Tanganyika ya mwaka 1956 ikiwa imegawanywa kwa makabila. Historia inatuambia kuwa kuna makabila kama 125 nchini. Je twayajua yote? Kuna makabila mengi tu...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
maelezo zaidi mtembelee http://www.ladyjaydee.blogspot.com/
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Two Mozambicans, a Congolese and a Tanzanian were arrested in Vereeniging, South Africa, on Sunday, in illegal possession of five kilos of gold, reports Tuesday's issue of the independent daily "O...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati wa mkutano mkuu wa chadema Mboye alipata muda wa kueleza juu ya chama chake kutuhumiwa kuwa ni cha kikabila na kifamilia.... Wakati wa hoja hii alishindwa kujieleza kwa nini chama si cha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna kitu najaribu kuandika lakini mpaka sasa sijajua kitaitwaje ndio nimeanza tu usiku wa leo , nimekaa tu nikaona nianze kuandika mfululizi wa kitu Fulani ambacho sijui kitaishia wapi hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna hili la sehemu kubwa ya jiji la daresalaam na miji mingine kuona watu wengi wamejenga kiholela maeneo yasiyopimwa. sasa kinachonishangaza ni kuwa mpaka viongozi wa ngazi za uwaziri nao...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
There were minor hiccups and delays, but when Milton Mbhele and his four brides stepped out of their limousine and held hands, there was a sense of triumph on the groom's face. On Saturday...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MZIMU wa ujambazi umeendelea kutesa jijini ambapo jana kundi la majambazi wamevamia tena Kimara Stop Over na kumuua kwa kumpiga risasi mgongoni Afisa Mauzo wa Kampuni ya Lubricant, Gosbert Kanyika...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna mdau aliianzisha hii hoja (naomba ajitokeze ili credits ziende kwake) hivyo naiweka kama alivyoibandika: ==================== Ndugu wana jamii, salamu kwenu nyote mlio kwenye jamvi hili la...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bi. Magdalene. H (59) wa mji wa Dortmund, Ujerumani alisimamishwa kazi baada ya miaka 34 kama sekretari wa kampuni ya ujenzi ya Westfalen, kwasababu alikula chakula kabla ya kupewa ruhusa na bosi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
</SPAN> MGAO wa umeme wa zaidi ya saa 14 kwa siku katika kila kona ya jiji ya Dar es Salaam, ulioanza wiki iliyopita nchi nzima, umekuwa ni kero na kuwasababishia watu kuingia hasara katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
</SPAN> Bibi Marianne L. Tuesday, October 13, 2009 2:30 AM Bibi mwenye umri wa miaka 75 wa nchini Ujerumani amelazimika kuuza picha zake za utupu alizopiga akiwa kijana ili aweze kupata pesa za...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Back
Top Bottom