Bado mimi ni mgeni hapa JF na najaribu kuafaindi mai weyi araund-Nilijikuta natuma thread mara ya kwanza badala ya ku reply kwenye post. Eneywey nimeona jinsi gani forum hii inavyo pangua changamoto Tanzania, na jinsi gani inavyochangia na inavyoweza kuchangia katika maendeleo ya Jamii na Nchi! Vilivile nilikuwa na swali kwa wana J.F Tanzania bila ya kuwepo kwa multi party system forum kama hii ingekuwepo?Ukiondoa utumiaji wa mntandao au Intaneti- Ni nini imachangia kuwa na freedom of expression hasa kwa mtanzania?
mwana JF,
Atanaye Kijiko.
mwana JF,
Atanaye Kijiko.