Hivi ni Mwai Kibaki,Moi Kabaki au Mwai Kibaka?

Ni MWai Kibaki aliye ahidi kutenda shughuli za uhalifu mbele ya jaji mkuu na washirika wake wote, lakini kikubwa zaidi mbele ya dunia nzima kwani hata sisi huku vijijini tumemuona akisema hivo kwamba atatenda uhalifu!

Ila kwa vile kaahidi kutenda uhalifu hata ukimuita Mwai Kibaka ni sawa
 
Mambo bado magumu kweli kweli. Naambatanisha nukuu toka kwa Raila Odinga: "I refuse to be asked to give the Kenyan people an anaesthetic so that they can be raped".
 
Back
Top Bottom