Kila siku tunalia hali ngumu ya uchumi,mara vigogo wanaiba fedha ya nchi yet tunawafahamu hata kwa majina mmojammoja lakini najiuliza inakuwaje wakati wa uchaguzi tunawachagua hao hao tunaowaoita...
Serikali imeiagiza Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kuzifanyia uchunguzi wa kina asasi zisizo za kiserikali (NGO`s) zinazosamehewa kodi kwa kuwa baadhi yao zinafanya biashara.
Aidha, imeiagiza...
Inasikitisha sana kuona Kampuni hii yenye dhamana ya moja kwa moja na maisha ya watu imeweza kukiuka maadili yake kwa kiwango cha juu sana. Nimeona niweke hii thread hapa JF ili tuijadili maada...
Kwa muda sasa nimekuwa najiuliza uzuri wa CCM kumpa heshima huyu Seif . Kapewa mafao yote na ulinzi nk .Najua haki hizi ni zake tangia mwanzo hata kama alikuwa upinzani lakini kwa CCM na...
Aibu tupu Dodoma
2007-11-07 15:40:07
Na Mary Edward, Dodoma
Licha ya kinyang`anyiro cha uchaguzi wa Chama cha Mapinduzi CCM, kumalizika salama, lakini aibu zilizotokea huko zimebaki...
Ni hakika kuwa CCM imepoteza mwelekeo. Viongozi na makada wake. Nimekata tamaa kiasi cha kuombea waondolewe madarakani haraka.
Sina shaka na vyama shindani vya CCM, japo ni vichanga lakini...
Je tumefika mahali ambapo tulitaka kufika kama Taifa? Je hapa tulipo ndipo wazazi wetu waliposimama kulilia uhuru na kuwa Taifa walitarajia ndipo tungekuwa? Je hapa tulipo ndipo kwa haki yote...
Hi, everybody!
Nimekuona nikiona nafasi nyingi (si nafasi za kazi) zimekuwa zikitokea siku za hivi karibuni, hapa Tz na nje, lkn wengi wamekuwa wakizikosa nafasi hizo k/sbb ya kutokuwa na taarifa...
Is the Commonwealth relevant?
President Yoweri Museveni will next week host the Commonwealth head of governments meeting in Uganda.
The summit is held every two years and will discuss the...
Thousands of people have marched to the Justice Department in Washington to call for stronger action against racially motivated crimes.
Civil rights leaders organised the demonstration following...
Raia mwema
Nchem Nchicheme? Novemba 14, 2007
KWAMBA kuna daktari mmoja au wawili, au watatu wamefanya uzembe wa hatari kwa maisha ya mgonjwa, hakuna mjadala. Hakika, uzembe uliosababisha...
Mapema leo asubuhi nimetumiwa e mail na wanafunzi wa kitanzania wanaosoma kule nchini china wakiwa na matatizo ya kutokupelekewa pesa na bodi ya mikopo tangu mwezi wa saba.
naiweka hapa e mail...
November 2007
The first ever comprehensive global study of protection of journalists' sources has found that there is widespread legal recognition of the right around the world...
Kuna mtu kanitumia ujumbe kwamba kuna apprentice Africa ambayo inandaliwa na wanaigeria sijui dili au ni usaanii lakini ukita maelezo zaidi nenda google kisha google neno The apprentice Africa...
SIKUJUA JAMBO FORUMS NI DEAL........
Lowassa,JK wa mnunua Mwanakijiji Bei Mbaya kuhusu Picha Chafu za kashifa na ushaidi mwingi aliyo nayo MWJ kuhusu viongozi hao na wengine ,kwahiyo wameamua...
Nimepata simu muda mfupi toka kwa Mzee mmoja mida hii na katika maongezi yetu kasema ziara za mawaziri wa JK katika kuelezea bajeti waliishia kuongea na madiwani kwa mikutano ya ndani maana...
USEMI wa Rais Jakaya Kikwete, alipochukua uongozi wananchi, kwamba anakusudia kuendesha uongozi wake
akijenga katika yale yaliyofanywa na mtangulizi wake, Rais mstaafu Benjamin Mkapa, unaweza kuwa...
Ndugu zangu watanzania wote mnaomiliki magari hizi ni bei mpya kupata new motor vehicle lecence pamoja na registration za magari pale TRA Bei imepanda kwa asilimia 95%.
Hivi kweli tutafika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.