kaisa079
Member
- Nov 16, 2007
- 20
- 4
Kila siku tunalia hali ngumu ya uchumi,mara vigogo wanaiba fedha ya nchi yet tunawafahamu hata kwa majina mmojammoja lakini najiuliza inakuwaje wakati wa uchaguzi tunawachagua hao hao tunaowaoita wezi? Mwalimu wetu wa kutufundisha jinsi ya kuamua amekufa?
Wewe unajua kabisa sehemu pekee ambayo masikini anaweza ku'mcontrol' mwenye nacho akiamua kufanya hivyo in katika 'kura' sasa najiuliza vijizawadi vya t-shirt,vitenge na mchele tunaopewa wakati wa kampeni huwa vina madawa ya kutulevya akili? hebu nisaidieni kujadili.