Tuwekeeni Link ya "Opportunities"

Tanzania 1

Senior Member
Oct 4, 2007
197
25
Hi, everybody!
Nimekuona nikiona nafasi nyingi (si nafasi za kazi) zimekuwa zikitokea siku za hivi karibuni, hapa Tz na nje, lkn wengi wamekuwa wakizikosa nafasi hizo k/sbb ya kutokuwa na taarifa nazo. Kwa mfano, mashindano ya kuandika Business Plans.
Mnaonaje km kutakuwa na link ya "Opportunities" ktk hii site kwa manufaa ya wanachama na wengine?
Naomba kuwasilisha hoja.
 
Hellow Tanzania 1!

Kuhusu nafasi za kazi na vinginevyo vyotevyote (au opportunities kama unavyotaja wewe) huwa vinatangazwa hapa, japo mara moja moja.... mtangazi mkubwa ni Maxence Melo(Mac), Link hii hapa ya zile alizokwisha tangaza.. Hivyo basi kama nawe unapata fununu za kazi au "opportunities" pahala fulani hivi ninakusihi uweke taarifa tu hapa... ndiyo kuwa ma-pioneer kunavyokuwa, kwa ushirikiano na uwazi wetu tutasaidiana kama Watanzania. Tusisubiri mpaka mwingine aweke au aseme... infact, weka katika forum yoyote kama huna uhakika na unachokifanya nakama deadlines zinakaribia, ila muhimu kuwaomba Mods waipeleke inapotakiwa tu otherwise ukitumia muda kidogo kuangalia muundo wa JF utaona sehemu ya kuweka matangazo ipo/zipo... Ahsante. Baadae.

SteveD.
 
Back
Top Bottom