Tanzania 1
Reaction score
12

Profile posts Latest activity Postings About

  • A.W.W. how are you my brother? pole i have not been around for sometime .. ndo maana umeona kimya .. nilisafiri kijijini tulikuwa na msiba .. ila kidogo mambo yakawa makubwa zaidi ... came back yesterday .. Alhamdulillah .. May i also take this opportunity to wish you a Happy New Year nakuombea baraka afya na maendeleo tele
    Thanks for the friendship request .. am very grateful buddy .. Mwenyezi Mungu atuongoze katika mema na atujaalie urafiki wenye manufaa na fikra njema kama alivyowaongoza Mitume walotangulia .. Karibu ndugu yangu
    Assalam alaikum ndugu yangu .. umepotelea wapi? ... nakusalimia tu na kukujulia hali, Mola akubariki na akupe afya tele .. huyo hapa kwenye avator ni mjuku wangu au?
  • Loading…
  • Loading…
  • Loading…
Top