Kama uko UK una access na Channel 5. Kuna programme ya Blood Diamonds kwa muda wa saa nzima imeaanza 2000Hrs. Worth watching, you never know....