Knight Support to be blamed

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,811
2,764
Inasikitisha sana kuona Kampuni hii yenye dhamana ya moja kwa moja na maisha ya watu imeweza kukiuka maadili yake kwa kiwango cha juu sana. Nimeona niweke hii thread hapa JF ili tuijadili maada tumeweza kuwajadili wale Madaktari wa MOI na kosa lao la KICHWA-MGUU tukawaona ni wauaji lakini baada ya kusoma hii nikaona hawa Knight Support ni maharamia kabisa waliokuja hapa kwetu na kusajiliwa kama waokozi wa maisha ya binadamu kumbe sivyo. Imesikitisha sana.

BAADA YA LINK KUTOFUNGUKA VIZURI NIME COPY NA KU-PASTE HABARI NZIMA HAPA CHINI

The Bongo Sun got tips from impeccable sources saying the sad episode took place on October 28 this year at the Port's quarters at Masaki in Dar es Salaam where the PR had been living with her family.

Speaking to The Bongo Sun, a family spokesman who identified himself as George Tibenda said his relative died by fire due to the company refusal to provide service on account that the payment was to be made first before they could do anything.

Tibenda said that Knight Support was informed that there was a house next to their customer's house which was going ablaze and they arrived immediately. However, upon arrival, the fire fighters are said to have surrounded their customer's house while watching Suzan's house burning.

One of Suzan's neighbors attempted to beg them to do something to save Suzan's life but the Knight Support workers refused and demanded him to pay a certain amount of money which he didn't have by the time.

Efforts to persuade the Knight Support guys to put off the fire proved futile calling for neighbors to use sand, water and whatever they could to rescue Suzan's life.

Reports further reveal that a number of neighbors especially women were seen weeping around the area while trying to persuade fire fighters to do something but the guys strictly refused leaving people disbelieving their eyes.

According to another family member, the blaze began when Suzan was out of the house and that she decided to get into fire to rescue her two children Dezirei and Trezon Mziray who had already gone out of the house.

It is said that when she was in the house she heard her children calling her from outside and she answered that she was struggling to find a door because there was a huge smoke in there. "All this time Knight Support did nothing and they stayed there watching until the roof fell on her" said a family member.

Later on, the Municipal fire fighters came and attempted to rescue her but unfortunately she was in a very bad condition due to sustaining severe burns.

In another move relatives of the late Suzan have denied claims that their beloved one had gone in there to rescue some cash she had acquired after she sold her escudo as it was reported by the media, saying she only went in to save her two children.

Our reporter went to knight Support offices where he was told that the responsible persons Mr. Kambi and Mr. David Sutton who are Public Relations Officer and The Director respectively were in Nairobi for official matters.

Most people have condemned the move by Knight Support as a brutal, inhuman and ruthless, one saying they seem to value money rather than people's lives, something said to be dangerous in our country which is endowed with love and compassion towards one another.

The late Suzan's body was sent to her domicile in October 31st this year where she was buried at Kipondoda graveyards. Suzan has left behind two children Trezon and Dezirei Mziray. May God rest her soul in eternal peace.

Amen
 
This is realy bad,,kampuni kama hizi si zifungiwe tu? pese ni bora kuliko uhai, shame on them
 
Ok, tunaweza tukawalaumu lakini let us consider the other side.
Nilishaangalia kipindi ambapo msemaji wao Knight Support,alisema wazi kuwa, wao hawalipwi na serikali senti hata moja, gharama wanayoingia kwa ajili ya kuzima moto ni kubwa sana. Mara nyingi wanajikuta wakifanya kazi kubwa ya kuzima moto kwenye maeneo hata ya walalahoi bila fidia yoyote kutoka serikali. Waliomba iwe kama nchi zingine ambapo kama serikali imeshindwa kumudu hiyo kazi inatakiwa iwape kila mwezi some form of subsidy. Sasa badala ya kuwalaumu Knight Support mi naomba kuuliza Zimamoto la Jiji lilikuwa wapi? Mbona hukohuko Masaki wakati hoteli ya Seacliff inaungua walipofika Knight Support, nao Jiji waliweza kufika? na pia nyumba ya Mengi ilipoungua, aliwashukuru Knight Support haswa na si Jiji (walichelewa kufika wakakuta kazi kwisha). Tumeambiwa serikali (nikimaanisha na Jiji) imetumia mabilioni kununua magari mapya ya kuzima moto na pia kumaintain kikosi cha Zima moto, lakini hatuoni improvement.
Kwa upande wa Knight Support, wana policy inayosema kwamba kama ni hali ya kuhatarisha maisha wanasaidia lakini wanahitaji commitment ya mhusika kwamba atalipa. (who will compensate them?).
Jamani hii ni private business, tuyatofautishe na issue ya public service. Kwa mfano issue ya Muhimbili ni public service, Zimamoto ya jiji ni public service, ambulance ya Knight Support ni private business same applies to zimamoto yao na hata Ultimate Security na wengine.
 
Well said Susuviri, lakini kuna situation inabidi ziangaliwe. we pata picha ya mama anaungua ndani watoto wake wapo nje wanalia na wao wanaangalia, hivi utu uko wapi? hata huruma je? walifata nini hapo sasa? nani angepromis kilipa wakati muhusika ndo anayeungua ndani.
 
Judy, nakubaliana na wewe kuhusu utu, lakini sijaona kwenye article kama walisema ni nani from Knight Support alikataa on the scene. Unajua wale wanaofika on location wanafuata policy. Mimi siwatetei katika hilo, maana I think that we, humans are more than a machine, hatufuati tu maagizo, lakini biandamu hatufanani. Inawezekana kama wewe ni mfanyakazi na ukafanya maamuzi na ukaingia kumkomboa mtu, basi gharama zote unakatwa kwenye mshahara wako kama hujapewa idhini ya kuingia. I am just speculating but I do know that similar policies are in place in many similar service oriented companies.
The Bongo Sun is also a tabloid so I would like to read the story from other mainstream media. Pia tuwape nafasi Knight Support kurespond tusiwalaumu moja kwa moja.
 
Watanzania tunamatatizo sana,wakulaumiwa ni zimamoto wa jiji na sio kampuni binafsi,siku moja nilisema hivi "ili ujue kuwa serikali ya tanzania imeoza ni pale unapofikwa na tatizo ndio utajua ukweli huu"sisi tuliobahatika kuishi nje tunaona njisi serikali za wenzetu zinavyowekwa kitimoto kutokana na uzembe unaofanywa na watendaji wa umma.
lakini bongo watu wananungunika chinichini kama hakuna kilichotokea basi hiyo ndio imetoka.
Ilitakiwa jiji wajieleze na pia kilipa fidia juu ya hasara iliyopatikana ,ilikesho yake watawajibika sehemu nyingine
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom