Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,909
Kwa muda sasa nimekuwa najiuliza uzuri wa CCM kumpa heshima huyu Seif . Kapewa mafao yote na ulinzi nk .Najua haki hizi ni zake tangia mwanzo hata kama alikuwa upinzani lakini kwa CCM na demokrasia walimnyima ila ghafla wakaja kumpa. Nimekuwa nafuatilia sana matukio na mwisho nakuja na hili swali hapo.
Seif baada ya kutangaza kura za maruhani na kuwafanya CCM kupata vile viti 6 Pemba na baada Mbatia kujenga paa la shule moja kule pemba kwa pesa ipi mimi sijui na kuwawekea pingamizi wana CUF wale CCM mikawa imesha maliza mchezo mzima na kuwapa shukrani Seif na sijajua Mbatia alipewa nini kwa msaada ule . Kama kuna mweney nyeti zaidi jamani alete hapa maana kama mambo ni haya basi Upinzani wa kweli bado na tukaze buti .