Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,898
Nimepata simu muda mfupi toka kwa Mzee mmoja mida hii na katika maongezi yetu kasema ziara za mawaziri wa JK katika kuelezea bajeti waliishia kuongea na madiwani kwa mikutano ya ndani maana wananchi walikuwa wakiwazomea kila kona ya Nchi . Je kwa wana CCM na wachambuzi wa mambo ya siasa na hasa wa serikali ya JK mna la kutueleza ? Is there anything achievement?