Nina mizigo yangu nataka kutuma nyumbani kwa kutumia kontena. Je kuna mbongo/wabongo wowote ambao wana mizigo ya kutuma? Kama wapo, basi naomba tuwasiliane kuona kama tunaweza kubanana kwenye...
Tunatarajia kuwa na onesho baadaye leo Jumamosi kupitia BONGO RADIO na ninawakaribisha wale wote watakaopenda kushirika katika mjadala na mazungumzo yatakayoanza saa nane mchana EST (-5GMT)...
WAZIRI Mkuu mpya, Mizengo Pinda amesema suala la ukubwa wa Baraza la Mawaziri litakuwa moja ya ajenda za mwanzo kabisa kwake, pale atakapokutana na Rais Jakaya Kikwete kujadili baraza jipya...
1. Usiwe muongo kama Karamagi
2.Usiwe mwizi kama Balali
3. Usiwe mbishi kama Zitto
4. Usiwe makelele kama Makamba
5.Usiwe mbabe kama Sitta
6. Usihukumu kama Mudhihiri
7...
Ndugu wanabodi,
Tokana na juhudi zetu za kumwaga ama kuanika uchafu unaofanywa na viongozi wetu katika serikali ya Tanzania, tumewezesha kulazimisha Baraza la mawaziri kuvunjwa.
Lakini kiini...
Call it Gombesugu or Kumkoma Nyani Kiladi!
In wake of political uncertainty of Tanzania Government future due to inefficiency, incompetence and severe allegations of corruption and pressure from...
Rejea Kashafa ya Richadmond dhidi ya Lowasa (Aliyekuwa Waziri Mkuu).
Is it my understanding kwamba Lowasa ameachia madaraka ya Uwaziri mkuu kwa sababu kashfa ya Richadmonds inamgusa yeye kaka...
How long before it's okay to stone your wife to death for talking to another man so long as you married her in a country that allows it?
Muslim husbands with more than one wife to get extra...
source:
1. The staff has developed guidelines for dealing with you and quietly passes them to new employees. "Never suggest that there might be another way of doing something," they might say...
Nimepata hii e-mail nadhani inatoka bungeni nimeona niipost hapa.
Mimi nasema,kama kweli atafanya anachokizungumza.Atanipa imani ila nitafanya hivyo tu baada kuona Watu wote waliohusishawa na...
Mheshimiwa Kikwete, hiyo nchi inayoitwa Tanzania imekuchagua wewe kwa sasa kuwa raisi wao na una kila mamlaka na nguvu ya kuamua na kuiongoza. Naomba nikukumbushe kuwa hauitaji kuomba ruhusa ya...
Ni kawaida yetu kutabiri nani anashika uongozi pindi mabadiliko yanapotokea, sasa tabirini nani atashika nafasi Waziri Mkuu, toa majina matatu na utaje vigezo/sifa zitakazofanya mtu huyo ashike...
Jitihada za CCM kujisafisha hazitafanikiwa ikiwa fisadi Mkapa hatawekwa kiti moto na kama kuna ushahidi kwamba alivunja sheria za nchi kujipatia mali kwa njia za haramu basi afikishwe mahakamani...
Siku ya jana imeingia katika kumbukumbu za serikali na maelfu ya wananchi wa Tz na wengine wenye uhusiano na Tz kwa namna moja ama nyingine.
Katika kuangalia angalia habari ya Lowassa nimekuja...
Hivi Ibrahimu msabaha katendewa haki kwa asilimia zote?
Maana amelalamika kuwa mfumo wa utendaji kazi wa serikali kwa ujumla wake ndio umemponza na ameomba uangaliwe upya siku za usoni
Kuna fununu kwamba Rais Kikwete anafikiria kuunda Serikali ya Mseto kwa kuwaingiza baadhi ya wapinzani ktk baraza la mawaziri akiwemo waziri mkuu!! lakini sijui kama katiba inaruhusu ingawaje ni...
Wana JF msiwe watu wa kukurupuka tuu na maneno. Kipimo cha uadilifu wa JK tutauona pale akiamua kufanya yafuatayo:
-KURECYCLE VIZEE VYA ZAMANI KWENYE BARAZA LAKE JIPYA
-KUMPA UWAZIRI MKUU...
I can not believe it, but peoples voices are now catching up in Tanzania. I am glad that some of CCM Wabunges have stepped up the plate and stood their ground against bullyiness of CCM leaders and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.