Perestroika Glasnost !

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,530
I can not believe it, but peoples voices are now catching up in Tanzania. I am glad that some of CCM Wabunges have stepped up the plate and stood their ground against bullyiness of CCM leaders and those who have been abusing powers.

We now wait for Mwenyekiti and Rais to act!
 
Haya ndio mapinduzi yanayotakikana. Kama kweli itakuwa Perestroika Glasnost, basi kama Gorbachev, Muungwana itabidi alale mbele na serikali yake yote kwa faida ya umma. Kwa wale watakaouliza nani akaimu Urais? Well, wapo wengi, majaji wastaafu (Samatta,Kisanga,etc) au hata Shein anaonekana kutokuwa corrupted na siasa.
 
Rev;

I swear it is coming and i dont see anybody blocking it... siajawahi kuona nilichokiona pale bungeni jana..you can not beliave ni EL aansemwa with fully effect and totoly conered..But it is really shame ..jamii haiwezi kupokea tena hali hii..unless tumekufahuku tunatembea...!!!
 
Pongezi za dhati kwa Wana JF wote kwa kuwa mahiri na makini kuleta msukumo. Orange Revolution inakuja!
 
Wakati mwakeyembe anasoma ripoti yake nilipatea na hisia tofauti nilijawa na furaha pale nilipoona watanzania wameamua kuamka na kudai kilicho chao. Hapo hapo nilihisi machozi yanataka kunitoka jinsi binadamu wengine wanavyoweza kufanya maamuzi yatakayoathiri taifa zima kama wafanyavyo maamuzi huko majumabi mwao.

ni matumaini yangu hatutaishia hapa tustasonga mbele tena bila kupumzika tumeshapoteza muda na rasilimali nyingi sana mikononi mwa binadamu kama hawa.
 
Back
Top Bottom