JK atarudi na mawaziri 60 tena?

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,546
832
Wana JF msiwe watu wa kukurupuka tuu na maneno. Kipimo cha uadilifu wa JK tutauona pale akiamua kufanya yafuatayo:

-KURECYCLE VIZEE VYA ZAMANI KWENYE BARAZA LAKE JIPYA

-KUMPA UWAZIRI MKUU KIKONGWE KINGONE

-KUENDELEA KUWA NA MAKATIBU WAKUU WALE WALE

-BARAZA LAKE LA MAWAZIRI KAMA LITAKUWA LIMEJAA WAPIGA DOMO/WANASIASAKama akaitaka watu wamchukulie serious basi awe na mawaziri 10 maximum

sasa sijajua VX moja ni kiasi gani na kila waziri ana wacost walipa kodi kiasi gani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom