Sasa hivi nchini kwetu kumekuwa na rushwa za waziwazi sana bila hata chembe ya aibu. Ninakumbuka nilikwenda TRA ile ofisi wanayotoa leseni. kwa bahati mbaya wakati nakabidhi viambatanisho ili...
CHRISTIANIZATION OF HUMAN CARGO TO MARYLAND As stated ealier, the history of Muslims in Maryland can be traced to West Africa where Islam reached in the eighth century. By the twelfth century, the...
I am tired of talking. I dont like what is happening in my country Tanzania today. The government seems not to care what I want or think. So I will stop talking. I will do what is nessesary and...
Shoga ambaye alivuma katika skendo la ngono lililomkumba mchezaji nyota wa Brazili Ronaldo de Lima amefariki kutokana na ugonjwa wa ukimwi.
Andre Albertini, shoga mwenye umri wa miaka 22 ambaye...
Mara kadhaa nimesoma katika magazeti Majina na maana yake.
Huwa inafuirahisha sana unapogundua jina la mtu na maana yake.
Napendekeza tutumie thread hii KUULIZIA na KUJULISHA majina na maana zake...
wengi Tunaufatilia Mjadala wa mahakama ya kadhi kupitia magazeti yetu na redio zetu.
Tz Daima, Mwanahalisi, Mwananchi,Majira,Habarileo, Raiamwema na redio kama vile tbc1 na nyengine nyingi. Lakini...
Ni upungufu lakini labda mapungufu hayo ndo yanachangia maendeleo waliyonayo.
hapa naongelea uelewa wa mambo ya kawaida, mambo ya kimataifa na kitafifa. elimu zetu tanzania ni ukweli kuwa...
Mapango ya Wookey Hole Thursday, July 09, 2009 4:18 AM Baada ya mchawi aliyekuwa akifanya kazi katika kituo cha kitalii cha Somerset nchini Uingereza kustaafu, mchawi mpya anatafutwa kuziba...
Mashimo hayo yaliyofunikwa kwa mujibu wa Polisi ni miongoni mwa sehemu ambazo wafanyakazi wa makaburi hayo waliokamatwa walikuwa wakizitupa maiti kutoka kwenye makaburi waliyoyafukua Friday...
Misaada lazimishi
Kipindi cha nyuma miaka ya sitini na sabini mababu zetu na baba zetu shuleni walikuwa wakila sana vyakula vya misaada kutoka Marekani. Vyakula hivyo vilikuwa vyaja kama misaada...
Tamaduni zetu za kiafrika watoto walikuwa wakizaliwa wanakuwa na majina ya kurithi toka kwa babu zao au bibi zao na hili linakuwa wakati mtoto akiwa mdogo sana kwa wa kristo kabla hajabatizwa...
Samahanini wakuu, ndio ninatoka kupata mlo wa mchana na naomba kuuliza kuhusu hili jambo nililokutana nalo japo ni la kawaida,
Nimefika kwa muuza chips nikaagiza chips mayai (bila kuspecify...
Wanajamii,ni nini chanzo hasa cha mtu kuota yupo na Marehemu wa karibu naye mfano baba,mama mjomba na wengine ambao walimtoka kama miaka zaidi ya kumi iliyopita.
Na katika ndoto hizo mtu anakua...
Watanzania na wanadamu kwa ujumla tuko vitani, lakini sidhani kama tuna hata chembe ya ufahamu kwamba tuko vitani.Tumezingirwa kabisa na ushindi wa vita hivi kwa sasa unaonekana ni mfinyu sana...
Taadhalini waungwana, Leo nimepata barua toka kwa hawa jamaa, wanao jifanya kuwa wao ni wawakilishi wa UN.
_____________________________________________
From: "UNITED NATIONS ORGANIZATION"...
Wadau,
Heshima mbele. Wajameni suala la sauti ya TV yetu ya taifa TBC1 linakera. Kimsingi wale ambao ni wapenzi wa kuangalia television hiyo, mtakubaliana na mimi kuwa sauti inashuka halafu...
Tanzanite yaendelea kuhujumiwa,wawekezaji wauza madini ghafi nje
Na Mwandishi Wetu
AGIZO la serikali la kupiga marufuku usafirishaji nje ya nchi wa tanzanite ghafi lililotolewa miaka minne...
Unajua kuna njia kuu 4 za barabara Tanzania za kuingia na kutoka lakini ni njia moja tu ndio inamizani nayo ni morogoro
je kwenye njia nyingine hakuna MIZANI kwanini...