Just see the American's IQ level | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Just see the American's IQ level

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zing, Jul 10, 2009.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2009
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0


  Ni upungufu lakini labda mapungufu hayo ndo yanachangia maendeleo waliyonayo.

  hapa naongelea uelewa wa mambo ya kawaida, mambo ya kimataifa na kitafifa. elimu zetu tanzania ni ukweli kuwa zinatuwezesha kuwa na uelewa mkubwa wa jiografia, lugha, sayansi, historia . n.k. Labda hili ndilo linafanya tuwe wanasiasa, wanasayansi na wataalamu wa wenye longo longo.

  nadhani elimu za wenzetu kama USA wanawai kuspecialize mapema na hivyo wengi wanakuwa wana uelewa wa mambo fulani kwa sana na wanakuwa hawana uelewa hata chembe wa mambo mengine yanayohusu jamii. Utaona mfano wa yule mgombea mwenza wa chama cha republican marekani aliyedhani afrika ni nchi.

  Je kuna haja ya kubadilisha mitaala na kuanza kuspecialize mapma kwenye taaluma zetu badala ya kuwa na general education kwa muda mrefu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. K

  Kahinda JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 849
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Common sense is not common in ...............(marekani)
  ndo kwa maana ukienda ubalozini kuomba viza ukinyimwa mara ya kwanza
  ukienda safari ya pili huyu wa pili huwa hana hata muda wa kufikiri ili aamue kwa kuzingatia ufahamu wake.kwa wale wanaoishi huko wanajua na wamekutana na misemo kwamba " I have travelled all over the world" mtu akitoka state moja kwenda nyingine anaona kisha tembelea dunia nzima.Sasa hawa wakitawala Dunia amani itakuwepo kweli?
   
Loading...