Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu, Hii ni jinsi nionavyo mimi kuhusu watanzania na maisha yao ya kila siku. Nimewatazama watanzania wenzangu kama watu wanaoishi kwa matukio yaani leo wamesikia hili kabla...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Sisemi mimi kama Chereko bali nachereka na maneno ya Waziri Kapuya kama nilivyosoma kwenye habari Leo jumamosi iliyopita -eti Watanzania sio waaminifu na hawajui kiingereza ndio maana kwenye...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Wakuu, naleta kwenu mada hii kwa nia njema kabisa kuhusiana na wenzetu walioko nje ya Tanzania ambao ni member hapa JF. Nimekuwa nikisoma post zao na michango kadhaa kuhusiana na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakati inajulikana kabisa kuwa ushuru wa forodha unasimamiwa na mamlaka ya mapato tanzania(TRA) ambayo iko chini ya serikali jamhurii ya muungano Tanzania,kuna habari mamlaka hiyo inatoza ushuru...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF, ninavyofaahamu mimi mitishamba ni dawa nzuri sana kama ukizijua na kujulia kizitumia. Mababu zetu ziliwasaidia sana kabla ya kuja za kizungu na feki za kichina ambazo zingine ndio...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
2 NJ mayors, lawmaker arrested in corruption case - Yahoo! News
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kodi Tsh. 120,000,000.00 Samani Tsh. 200,000,000.00 Gari Tsh. 300,000,000.00 Sitting allowance ? Matibabu ? Salary ? Marupurupu mengine ...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Chama Cha Mafisadi kazi kwao kama watasuka au watanyoa ,ubabe wenu unamulikwa kila kona ya dunia , East Tanzania huenda likawa ndio jina jipya na kuna tegemeo kuwa hata visiwa vya Mafya navyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wazee mambo ya pabu hayo... ukata umefika kwa bibi!!!!! UK pubs closed at a rate of 52 per week in the first half...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Kama unataka kwenda kuomba student visa ubalozi wa marekani hapa Dar es salaam ni vitu gani unavyotakiwa kuwa navyo, ninayo I-20 na vyeti vyangu vya high school na diploma, je ni vitu gani zaidi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nitajuaje tayari! Nitajuaje moto umewaka?Swali: Nitajuaje mke wangu amesisimka vya kutosha na kwamba uke wake upo tayari kupokea uume wangu? Jibu: Ukweli ni kwamba mwanamke huwa tayari pale...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Closed
Waraka maalum kwa Wakristo Zanzibar Wapendwa katika Bwana, NDUGU Wakristo umefika wakati tumeonelea kuwa ipo haja ya kuwaelezeni machache ili kuona maendeleo yetu na mafanikio tuliokwisha...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
2 Bulgarians Busted in Tanzania for ATM Fraud 2009-07-21 19:21:03 Two Bulgarian nationals were detained in the biggest city of Tanzania, Dar es Salaam, for ATM fraud, the internet site...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Former boxer Chris Eubank spends £30,000 on new teeth to get rid of trademark lisp Last updated at 2:21 PM on 21st July 2009 Chris Eubank hopes dental work surgery will 'improve the aesthetic...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ndugu zangu, hivi watanzania adui zetu ni nani kwa sasa au ni bado wale akina UJINGA, MARADHI NA UMASIKINI?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF, Salaam! Katika pitapita yangu weekend iliyopita nilikuta mjadala mahali kuhusu matumizi ya simu za kiganjani - mobile phones. Mjadala hasa ulikuwa kuhusiana na utunzaji wa kumbukumbu za...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hi
Hello everyone, Have been hearing about this Forum a lot. Finally have found my way here. Although I find some discussions very interesting, there is a lot of character assassination that I...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa wanaomaliza kidato cha sita sasa wanapendelea kusoma Mzumbe, na sababu mimi binafsi sifahamu, je kuna mdau yeyote mwenye information juu ya hilo, maana applicants...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Ngugu mwanajf, baada ya kjadili mada iliyokuwa inazungumzia kile usichotaka(SITAKI), hebu sasa tujadili kile ambacho unataka kama ambavyo mimi: 1.Nataka Serikali inayojali watu na rasilimali...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Sifahamu kama baadhi yetu mmekwisha onja adha ya utaratibu mpya wa TRA ambapo tofauti na zamani sasa once ukilipa kodi unalipia na registration fee kabisa. Well hawa jamaa huenda walikuwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom