MELI ya mizigo inayomilikiwa na Kampuni ya Seagul, Mv Fatih imepinduka na kuzama katika Bandari ya Malindi Zanzibar usiku wa kuamkia jana na watu watatu wamethibitika kupoteza maisha huku juhudi...
Yafuatayo yamesikika kuhusu washabiki wa Arsenal.
1. Of late wamekuwa na msongo wa mawazo ( Stress) kutokana mfululizo wa matukio during the year.
2. Ile khali ya kuishia kushangilia kwao na...
Aliyekuwa Naibu katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani ameondolewa kwa kuhamishiwa Taasisi ya Elimu kuwa Desk Officer. Sababu hazijaelezwa zaidi ya kuitwa kuwa ni uhamisho wa kawaida. Anayechukua...
Air France Airbus A330 ambayo imepotea kama inavyoonekana mwaka 2006 Tuesday, June 02, 2009 6:38 AM
Jitihada za kuitafuta ndege ya abiria ya Ufaransa, Air France AF447 ambayo ilipotea baada ya...
Kwa muda mrefu tumekuwa tukiwazodoa viongozi wetu kwa kile tunachokiita Ufisadi na ubadhilifu wa hali ya juu wa mali za umma. Tupo ambao tuko tayari hata kuingia mtaani kushinikiza kiongozi au mtu...
Wana JF ni kipi bora kinachowafaa wananchi wa Tanzania kati ya Maendeleo na Demokrasia? Hebu fikiria wananchi wa Busanda na Majimbo mengine yaliyofanya na yanayotarajia kufanya chaguzi ndogokwa...
ate::6/1/2009
Liyumba arejeshwa tena rumande vivuli vya hati vyakataliwa kortini
Na Nora Damian
KAMA ni balaa, basi ni hili linalomwandama kigogo wa zamani wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba...
Nimekuwa nikisoma habari mara kwa mara kwa wamiliki wa bastola kuzitoa na kutishia watu hadharani pale wanapoona wanabughudhiwa. Kikomo cha hali hiyo kilitokea pale marehemu Ditopile alipotoa...
Hivi hizi ajali za kupanga zitaisha lini au wanaopanga ajali hizi kwa mashujaa wetu wa kupinga ufisadi tuwatafute ili wasiendelee na hujuma zao.Wana JF wapanga ajali wanajulikana kuanzia ya Salome...
Wadau wa Forum,
Heshima kwenu nyote!! Sina uhakika kuwa kwa kuwasilisha swali langu hapa nitaweza kupata ufafanuzi ama nitakwaza maslahi ya baadhi ya watu fulani fulani. Pamoja na wasisasi...
In every country there are stereotypes about certain groups of people whether good or bad. Tanzania has a lot of stereotypes especially according to tribes. So what are the stereotypes in...
Wana ukumbi twambieni nyie mlooko karibu huko na sakata hili la kufukuzwa kwa aliyekuwa Jaji "Makamba" (Bin Manyuzi wa Bin Ununu wa Bin Utembo) eti wale wote walioamuliwa kesi zao na Jaji huyo...
Ukikata tiketi ya basi au ndege utakuta kwenye tiketi hiyo kuna masharti kadha wa kadha ambayo yanamuweka abiria kuwajibia. Lakini haki za abiria huwa haziwekwi wazi kwenye tiketi hizo. Je haki za...
Maisha ya sasa yamekuwa ni tete na siku zinaposonga hakuna kinachoeleweka, hii imekuwa kama laana kwani hata kama unapata pesa basi hazisaidii ktk kuitengeneza hiyo baadaye yetu na wale watokao...
Jamani naomba kueleweshwa hili Kwanini nchi kama Ethiopia ina shirika la ndege(Ethiopia airline) ambalo linatesa sambamba na mashirika makubwa ya ndege na wakati nchi kama hiyo haina any source of...
Wakuu,
Nimeona hii niifungulie thread yake peke yake ili tuijadili maana siku moja inaweza kuwa msaada kwenye jamii yetu. Tafadhali, TUSIMLENGE MWAKYEMBE hapa maana ametumia tu kama mfano ila...
In mathematics there is a very interesting principle known as the law of inverse proportion. For those who are math shy, popularly known as penguins (ngwini) at Mlimani, I will explain. This...
Ni mwaka sasa nimejaribu kuingia website ya mwanahalisi lakini inaonekana haijawa updated almost mwaka sasa kwani habari iliyopo pale ni ile ya May 21 2008 (Dr. Slaa: Nimeshinda Mafisadi). Vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.