Unakumbuka majina yako ya utotoni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unakumbuka majina yako ya utotoni!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dawson, Jul 10, 2009.

 1. D

  Dawson Member

  #1
  Jul 10, 2009
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tamaduni zetu za kiafrika watoto walikuwa wakizaliwa wanakuwa na majina ya kurithi toka kwa babu zao au bibi zao na hili linakuwa wakati mtoto akiwa mdogo sana kwa wa kristo kabla hajabatizwa mtoto anaitwa jina la hawo mababu, watu wengine ukuwa bado wanaitwa hayo majina tamaduni zimebadilika kwa sasa umagharibi umeingia kwa kasi siku hizi watoto majina yote ya kizungu watu mpaka majina ya ukoo siku hizi ya kizungu neno.

  Je wewe unakumbuka ulikuwa unaitwa nani ukiwa mtoto au mskaji wako tuyataje hayo majina mengine ni burudani kwa kweli hata kuyakumbuka!
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kwani majina hayo huwa yanabadilika hata ukipata ya kizungu??
   
 3. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2009
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Remember social change due to globality, technological aspects
   
 4. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Majina ya kizungu/kiarabu/kiyahudi ni kasumba tu..........pamoja na wewe kutukumbusha hilo bado inaonekana unaendekeza hiyo kasumba...cheki jina lako Dawson..wale wale
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,302
  Likes Received: 22,103
  Trophy Points: 280

  jina langu la utotoni ni Andusamile maana yake Mungu amenikazia macho,
  nlipoanza shule nkalilia nibadilishwe jina,
  nikaandikwa kwa jina la Kingsley.
  Sasa najuta, natamani nilirudie jina langu la awali.
   
 6. S

  Sauti ya Simba Member

  #6
  Jul 10, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli wakati umefika sasa tuanze kutumia majina ya kiasili ya mababu badala ya kujibandika majina ya kizungu, kv Dawson
   
Loading...