Ndoto za waliotutangulia wakati wa usingizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoto za waliotutangulia wakati wa usingizi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sksksk, Jul 9, 2009.

 1. s

  sksksk Member

  #1
  Jul 9, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamii,ni nini chanzo hasa cha mtu kuota yupo na Marehemu wa karibu naye mfano baba,mama mjomba na wengine ambao walimtoka kama miaka zaidi ya kumi iliyopita.
  Na katika ndoto hizo mtu anakua anaisi kama anafanya nao kazi kana kwamba wako hai.Hii inatokana na kitu gani? na ni jinsi gani unaweza kujizuia isikutokee kwani inauma kwa kiasi fulani hasa pale ukizinduka na kuona ilikua ndoto hawa watu hauko nao tena.
  Mchango wenu ni muhimu.
   
 2. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hayo maswali yako ni ya msingi, lakini pia ni magumu sana kuyajibu, japo hayo mambo yanatokea sana.
  Ushauri wangu, kabla hujalala usiku sali sala kwa mujibu wa dini yako jikabizi mbele ya mungu, mpinge shetani na malaika wake( mapepo, majini etc) na utalala salama , ukiamini lakini?
   
 3. F

  Felister JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2009
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Juzi nilikua naangalia kipindi kimoja nahoja hiyo ilijibiwa na mchungaji moja anaeheshimika sana duniani Pr. Chris Oyakhilome wa WWW.christembassy.org (Loveworld christian network) unaweza tafuta hiyo link utapata through internet.

  So alisema ndoto ni matokeo ya spiritual imaginations na zimegawanyika katika sehemu mbili ya kwanza ni Human spirit imagination kama ambavyo akili yako inavyoweza ku imagine thinks ambazo physical eyes zime wahi ku encounter in life na zile ambazo unaimagine tu kama desires so na spirit inahiyo ability so ukilala spirit hailali hata siku moja na hizo imagination zinaweza kuwa interpreted na ubongo wako nawe ukawa una fanya certain activities while ukiwa umelala. Sasa akasema kila mtu anaweza kuwa na control na such kind of imaginations kama ambavyo unaweza ku control ubongo wako kuwaza or ku imagine vitu.

  Aina ya pili ni when a human spirit communicates with eternity yaani Mungu na hii huwa ni reality na mara nyingi hizi lazima zi manifest into physical if at all the instructions or the outcome was seen to potray certain real things. Mara nyingi ndo unakuta Mungu amekuagiza hivi na vile au amekutaarifu kwamba one two .... is going to happen na itakuwa according to what is the God's will and purpose.

  Kuhusu wafu kuwa na communication na wewe kwakufuatana na imani ya kikristo ni kuwa lazima utakua ume invite communications with evil spirit for there is no any communication between the dead and the living according to bible. Na Shetani au evil spirit hawana power ya ku intervene or interact na spirit yako bila will yako. Sasa hapo inabidi uangalie nikitu kipi kilikufanya mpaka ukaingia kwenye hiyo situation. Possibility ya kwanza nikuwa evil spirit wanaweza kabisa kukushawishi through your mind mpaka ukaamini na kuruhusu hizo thoughts zikaingia ndani ya spirit yako na hapo wakapata access ya kutumia sura za ndugu zako kama means ya kucommunicate na wewe. So according to the bible hao si kweli kuwa ni ndugu zako bali evil spirits wame immitate/mimic sura za ndugu zako na kupitia family spirit kama kuna convenant mbalimbali ndani ya familia yako basi waka pata access through that na mara nyingi shida yao nikuku toment na kukufanya ukose amani na furaha kwani uchungu wa kupoteza ndugu zako ndo unaamshwa na kufanywa kuwa fresh.

  How do you solve the problem?

  Kama wewe ni mkristo jifunze ku meditate on the word of God for the word of God is God Himself and by doing so unaanza ku iposition spirit yako ku communicate na Mungu and as time goes your intimacy with God become so strong that no spirit can ever come across you bila kuwa na uwezo wa ku pambanua (disern sp?) ni spirit gani iko in operation whether evil or holly. Nakama tatizo hili limekuwa kubwa sana then tayari imeshafikia demonic stage kwamba uko held in bondage kama mfungwa na unahitaji a mature christian akusaidie ku cast out that spirit in you out.

  Ubarikiwe mpendwa na usiogope for Isa 41:10 inakupa assurance ya uwezo na ulinzi wa Mungu just believe in God and all is going to be well with you. Fear is the weapon of the enemy but the love of God is so strong that nothing can separate us from Him be it taabu, huzuni, shida; fedha; mali marafiki, hata dhambi haiwezi for we have remision for our sins through the death of Jesus so why worried be glad and rejoice in him by accepting the free gift of salvation to all human being through the love of God and the death of his only begotten son. So be strong in christ for Christ in us the hope of glory.
   
Loading...