Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba msaada jinsi ya kusajiri simu aina ya G1 Google (iliyotolewa na Tmobile) nchini Tanzania. Wafanyakazi wa mitandao yote Bongo wamechemsha mpaka sasa na kuifanya simu iwe useless...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CEO Roundtable of Tanzania Supports Police Fight Against Cyber-Crime The Chairman of the CEO Roundtable of Tanzania Mr. Ali A. Mufuruki speaks during the...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Nadhani kuna shida kubwa sana na waandishi wetu wa habari, sidhani kama wahariri huwa wanafanya kazi yao...nimeona hii habari the guardian nimechoka kabisa All public hospitals to get new...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Silence in issue we ought to speak strongly against, may mean agreement, participation or both. Tanzanians at different levels of social strata has tendency to remain silence in issue that we...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
weekend hii nitapata ugeni sasa nimeamuwa nitengeze coctail kwa kutumia konyagi ,jee yupo mtu atake weza kunisaidia vipi naweza kutengeneza coctail
0 Reactions
2 Replies
2K Views
`Kuna wauguzi wananyanyapaa waathirika wa Virusi vya ukimwi` Mwandishi Wetu Baadhi ya vituo vya afya nchini, vimelalamikiwa kwa unyanyapaa na ubaguzi kwa watu wanaoishi na virusi vya ukimwi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Saturday May 30, 2009 587bn/- ‘lost’ in tax waivers PIUS RUGONZIBWA, 30th May 2009 @ 00:28 The government has given away over 587bn/- in tax exemptions in the past 10 months alone...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jeetu Patel akiri kumiliki kampuni iliyochota fedha za EPANa Nora Damian WAFANYABIASHA Jayant Kumar maarufu kama Jeetu Patel na Devendra Patel ,wamekiri mahakamani kuwa Kampuni ya Bencon...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
nimeikuta hii kwenye mjadala mmoja huko kwenye net nikaona niiweke hapa mbele yenu huyu mtu anasema ni mkenya na alikuwa anachangia mada ya ukosefu wa umakini kwa wanasheria[hasa ofisi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
REKEBISHO. KIONGOZI MNYONYAJI MKUU AU MNYONYWAJI MKUU WA HAKI NI YUPI KATI YA HAWA KWA MLOLONGO (1)katibu kata (2)raisi (3)waziri mkuu (4)diwani (5)makamu wa raisi (6)mwananchi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapendwa wana JF, Nina shida nahitaji kupata msaada wa Jinsi ya Kulitatua. Kuna Mtu Nilimkopesha pesa mwaka 2004 December na akaahidi kunilipa January 2005. Lakini Mpaka leo hajamaliza kunilipa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau,nilikua mpenzi mkubwa wa kipindi cha jenerali on monday,lakini juzi nimeshtuka kuona kimebadilishwa jina si jenerali on monday tena ila ni Channel ten on Monday.jamaa aliekua anakiendesha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
KATIKA hali ya kushangaza imetokea juzi katika maeneo ya Boko baada ya babu mmoja kutuhumiwa kuwa amebaka mama mjamzito kuachiwa huru na polisi na mama huyo kubaki kushikiliwa na polisi. Tukio...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi ni sahihi kusema marehemu mwalimu nyerere au hayati mwalimu nyerere. Katika hotuba yake ya mbio za mwenge mwanza leo, dr shein anamtaja baba wa taifa kama marehemu mwalimu nyerere, mimi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni kwanini huwa hatuwakemei au zomea mawakili wa mafisadi?Huwa tunawaona Kisutu, jinsi gani wakiwatetea watuhumiwa, kwa mbwembwe nyingi huku wameshika mafaili na maji ya dasani, kwanini hasa vita...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
REKEBISHO LA SILABI (KATI YA HAWA NI YUPI KIONGOZI BORA, HALISI NA MJENGA NCHI) (1)katibu kata (2)raisi (3)waziri mkuu (4)diwani (5)makamu wa raisi (6)mwananchi (7)mbunge (8)balozi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mgonjwa mmoja mahututi alikuwa hawezi kuongea na kuwekewa oxgen. Akawa anaombewa na Mchungaji. Akiwa anaombewa, yule mgonjwa akachukua kalamu na karatasi, Akaandika na akampa yule...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nasikia sasa kumezinduliwa ZAMCHAPO badala ya kufungiwa ile iliyokuwa inadhalilisha ndugu na jamaa zetu.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Skinned Cat, Raw Meat Found Behind Restaurant - 11Alive.com | WXIA | Atlanta, GA
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Polisi wakamata magari 96 ya wizi Na Romana Mallya 28th May 2009 Mengi ni aina ya Toyota Land Cruiser na Rav4 44 yameibwa Japan, chassis namba zimefutwa Magari. JeshiI la Polisi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom