chips

chips

Kilambi

Member
Joined
Apr 3, 2009
Posts
94
Reaction score
18
Samahanini wakuu, ndio ninatoka kupata mlo wa mchana na naomba kuuliza kuhusu hili jambo nililokutana nalo japo ni la kawaida,
Nimefika kwa muuza chips nikaagiza chips mayai (bila kuspecify mangapi). muuzaji bila kuuliza akaniwekea mayai mawili,order zote zilizofuatia ilikuwa hivihivi yaani ukiagiza chips mayai jamaa anaweka mawili. Saaasa swali langu ni hili., JE ni lazima chipsmayai kuliwa/kuchanganywa na mayai MAWILI ili menyu ikamilike? kswali la pili, ni kwa nini kila mtoto anayejifunza kuongea maji anayaita MMA! akhsante na weekend njema
 
Kuhusu chips mayai naweza kukujibu kuwa kuna idadi ya mayai ambayo wauzaji walishaiweka kama kipimo chao cha kuanzia yaani mawili na kama utataka uwekewe zaidi ya idadi hiyo unaruhusiwa kumwambia muuzaji na utaongezewa kulingana na maamuzi yako, hapo fedha yako tu. Ila hilo la mtoto kusema MMa badala ya maji Mh! sijui...
 
Last edited:
leo ni siku yako ya kwanza kula chips?
 
Ameshajibiwa,itoeni hiyo thread mods!!!!!!!!!!

...........jamani mmaroroi rafiki si mbado swali ya mbili? mensio imeulisa kwa nini mutoto ikitaka maji ya kunywa inasema nataka MMA!

Hii haijajibiwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom