THREAD ya MAJINA na MAANA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

THREAD ya MAJINA na MAANA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Exaud J. Makyao, Jul 11, 2009.

 1. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mara kadhaa nimesoma katika magazeti Majina na maana yake.
  Huwa inafuirahisha sana unapogundua jina la mtu na maana yake.
  Napendekeza tutumie thread hii KUULIZIA na KUJULISHA majina na maana zake.

  Wataalamu tujulisheni.

  ANZENI na jina hili JOHN.
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Mimi naona mada ni nzuri,ila naomba tuanze na jina lako mwenyewe !!!!!
   
 3. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  MALILA,
  Nitashukuru sana mkinipatia maana ya jina langu.
  Nilisita kujitanguliza.
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mada nzima inaweza kufupishwa na link hii. hapa kila jina utajua lina maana gani mradi liwe limeshafanyiwa research. Kama haumo humu jua jina lako bado halijulikani. Cha kufanya kwenye link hiyo, usiingize chochote click "submit" kama inakupa option ya kuserch, then anza kudadavua majina. Otherwise majina yatatokea moja kwa moja

  Baby name search results
   
 5. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  click JOHN
   
Loading...