Shoga Katika Skendo la Ngono la Ronaldo Afariki kwa Ukimwi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shoga Katika Skendo la Ngono la Ronaldo Afariki kwa Ukimwi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babuji, Jul 11, 2009.

 1. B

  Babuji Senior Member

  #1
  Jul 11, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Shoga ambaye alivuma katika skendo la ngono lililomkumba mchezaji nyota wa Brazili Ronaldo de Lima amefariki kutokana na ugonjwa wa ukimwi.

  Andre Albertini, shoga mwenye umri wa miaka 22 ambaye alikuwa akijiita "Andreia", alizikwa ijumaa baada ya kufariki siku ya alhamisi hospitalini katika kitongoji cha Maua jijini Sao Paulo.

  Chanzo cha kifo chake ni ugonjwa wa neurotoxoplasmosis, ugonjwa ambao husababishwa na maambukizi kwenye ubongo unaosababishwa na ukosefu wa kinga mwilini, cheti chake cha kufariki kiliandikwa hivyo.

  Andreia alikuwa miongoni mwa mashoga watatu ambao Ronaldo de Lima aliwaalika kwenye chumba chake cha hotelini mwezi wa nne mwaka jana.

  Andreia alilalamika kuwa Ronaldo aligoma kuwalipa kiasi cha pesa walichokubaliana naye awali kwaajili ya ngono.

  Ronaldo alikanusha madai hayo na kusema aliwachanganya mashoga hao na wanawake na alikataa kulipa kwa huduma zao baada ya kugundua walikuwa ni wanaume.

  Ronaldo alidai mashoga hao walitishia kumchafulia jina asipowalipa.

  Mama yake na Andreia alisema kuwa mwanae alipata ukimwi mwaka 2006 jijini Rio de Janeiro. Aliongeza kuwa siku ya jumanne alizidiwa na ilimbidi amwahishe hospitali na ndipo siku ya alhamisi alifariki.

  Ronaldo ambaye wakati wa skendo hilo alikuwa akiichezea AC Milan ya Italia hivi sasa anakiputa kwenye ligi ya Brazili akiichezea timu ya Corinthians baada ya kukaa nje ya uwanja kwa mwaka mzima kutokana na kuwa majeruhi.

  Source: Nifahamishe.com
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  aisee mkali....cheki paja na linavyong'aa na tits walah huwezi jua kama bwabwa....lol hapo alipokaa akiamka tu pamelowa...lol
   
 3. Van Walter

  Van Walter Senior Member

  #3
  Jul 11, 2009
  Joined: Jun 16, 2009
  Messages: 171
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  daa...hilo ndo maana mtu mzima de lima alilifananisha na goma..maana liko poa..ka mgoma tu..huwezi dhania ka ni sonso.
  haya pole zao wafiwa..lkn watoa **** kupata ngoma sio ajabu.wao possibility kubwa sana.kama kuna choko atasoma hii thread aache uchoko.
   
 4. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2009
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Dah aisee toto hilo na bia mbili kichwani mbona utakuja kukataa kesho kama umekula bwabwa....!!
   
 5. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  let him go to hell
   
Loading...