Umuhimu wa kuweka mizani KILWA ROAD

Salehe Ndanda

Member
Jun 15, 2009
41
3
Unajua kuna njia kuu 4 za barabara Tanzania za kuingia na kutoka lakini ni njia moja tu ndio inamizani nayo ni morogoro
je kwenye njia nyingine hakuna MIZANI kwanini wana jf? kama
mizigo kila njia inapitisha mizigo, sisi watanzania gari la tani saba linabeba tani kumi, je uhalibifu wa barabara haupo hapa TZ? Je huu ni uzembe au hatujui umuhimu wa mizani?

Mbonenyai.
 
Mkuu kuna mizani Mkuranga wilayani pale,ukishapita mji kama unakuja Dar,kuna mizani pale(mobile).
 
Hata zingekuwa njia laki nane isingesaidia tatizo watu hasa wa usafirishaji na mizani wanapeana sana hongo ndo sababu barabara zinaharibika kila mara, imagine ushawahi kuskia mtu ameshtakiwa kwa uharibifu wa bara bara ncini tz.? Inahitaji wabadilishwe fikra zao.
 
Back
Top Bottom