Wapenzi wa Chinese food imekaaje hii?

Wewe si ndi ulisema ni mpenda Chinese food na "All-you-can-eat" restaurants. Ushasahau nini?

In full disclosure, yes, I used to frequent Chinese joints. But this is it. It is too close to home. It's a wrap.
 
mie ndio maana nikienda chinese restaurant nakula "chicken wings tu" lol .

Ya bongo pale Kitega uchumi haina matatizo lakini za majuu hmmmm! Bora hata wewe unaingia mimi harufu ndani ya hotel za Wachina hata chakula kinanishinda. Nimejaribu sana lakini wapi. Kuna mahali walikuwa wanakaanga kuku wana taste vizuri sana basi ikawa kila Ijumaa. Kuna siku nikakuta jikoni kuko wazi jinsi kulivyo kuchafu siju hata kama huwa wanasafisha sikurudi tena
Bora Indian restaurants vyakula vyao vinafanafana kidogo na vyetu.
 
ha ha ha kwa uchafu si wanajulikana mpaka mafuta yao ya kukaangia ni machafu mno.sema kuna wakati mtu unakuwa umebanwa sana na jamaa ndio wako karibu unakuwa huna jinsi.sio mlaji wa chinese kila siku ni once a while.
 
NN hapo Doraville na Buford Hwy kuna all sort of business lol...kuna zile massage places ziko open 24/7 lol... Ila hii ni very nasty lol ndio maana ukitaka Chinese food bora uende P.F. Chang's.
 
Hata P.F. Chang's mimi nita stick na shrimp tu. Mazagazaga mengine kama scallops, calamari, n.k. wala sitagusa
 
Ya bongo pale Kitega uchumi haina matatizo lakini za majuu hmmmm! Bora hata wewe unaingia mimi harufu ndani ya hotel za Wachina hata chakula kinanishinda. Nimejaribu sana lakini wapi. Kuna mahali walikuwa wanakaanga kuku wana taste vizuri sana basi ikawa kila Ijumaa. Kuna siku nikakuta jikoni kuko wazi jinsi kulivyo kuchafu siju hata kama huwa wanasafisha sikurudi tena
Bora Indian restaurants vyakula vyao vinafanafana kidogo na vyetu.

Ni nizuri kujipa moyo ,Lakini Bongo ukiwa Muuza nyama ya paka na mbwa unakuwa hupati hasara.
 
Wale wapenzi wa Chinese restaurants hapa Dar be careful.Milo yao mingi ni meaty and cheap. Mind you the source of the meat is mainly stray dogs and cats.Agiza any fish products , it is usually expensive and if not it has gone bad!!
 
Back
Top Bottom