Kati ya hawa ni yupi kiongozi bora na halisi na mjenga nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya hawa ni yupi kiongozi bora na halisi na mjenga nchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Limbukeni, May 27, 2009.

 1. L

  Limbukeni Senior Member

  #1
  May 27, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  REKEBISHO LA SILABI (KATI YA HAWA NI YUPI KIONGOZI BORA, HALISI NA MJENGA NCHI)

  (1)katibu kata
  (2)raisi
  (3)waziri mkuu
  (4)diwani
  (5)makamu wa raisi
  (6)mwananchi
  (7)mbunge
  (8)balozi nyumba kumikumi


  jibu linatakiwa moja tuu.
   
 2. Kaka Mkubwa

  Kaka Mkubwa Senior Member

  #2
  May 28, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mzee P bwana.
   
 3. L

  Limbukeni Senior Member

  #3
  May 28, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijakamata vizuri jibu lako vizuri
   
 4. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  mwananchi
   
 5. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kiongozi bora ni mtu, si cheo.Ulivyovitaja hapo juu ni vyeo, si watu.Ni vigumu kukupa jibu la maana kwa sababu swali halijaulizwa katika njia inayoweza kujibika.

  Labda ungeuliza tathmini ya michango ya vyeo vyote hivi na jinsi gani vinasaidia maendeleo na kipi kinachangia zaidi ungeweza kupata majaribio ya jibu.Lakini vipi kama kuna madiwani wengi, na wengine wana ufanisi wakati wengine hawana, je diwani atakuwa na ufanisi au la?
   
 6. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #6
  May 29, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,911
  Trophy Points: 280
  kama alivyosema Bluray, badili tena swali!
   
 7. L

  Limbukeni Senior Member

  #7
  May 29, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  swali langu nisahihi 100% kulingana na lengo lake, kama una swali mbadala liulize uko huru kulihusisha na hilo. nakiri sio aina ya maswali uliyayozoea. pia cheo akishikwi na cheo kinashikwa na mtu ili uwe na hicho au hivyo vyeo lazima uwe mtu.
   
 8. K

  Kamuna JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 297
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  pumba
   
 9. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Thread zingine bwana, we acha tu!
   
 10. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ABADILI swali liweje?
  Hilo ndilo swali lake Limbukeni.
   
Loading...