G1 Phone Registration.

G1 Phone Registration.

ZeMarcopolo

Platinum Member
Joined
May 11, 2008
Posts
14,279
Reaction score
7,690
Naomba msaada jinsi ya kusajiri simu aina ya G1 Google (iliyotolewa na Tmobile) nchini Tanzania. Wafanyakazi wa mitandao yote Bongo wamechemsha mpaka sasa na kuifanya simu iwe useless.
Natanguliza shukurani.
 
what do you mean? mimi nilidhani unawza kuitumia ili mradi iwe unlocked.
 
Back
Top Bottom