Kiongozi mnyonyaji mkuuu au mnyonywaji mkuu ni yupi kata ya hawa kwa mlolongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiongozi mnyonyaji mkuuu au mnyonywaji mkuu ni yupi kata ya hawa kwa mlolongo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Limbukeni, May 29, 2009.

 1. L

  Limbukeni Senior Member

  #1
  May 29, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  REKEBISHO.
  KIONGOZI MNYONYAJI MKUU AU MNYONYWAJI MKUU WA HAKI NI YUPI KATI YA HAWA KWA MLOLONGO
  (1)katibu kata
  (2)raisi
  (3)waziri mkuu
  (4)diwani
  (5)makamu wa raisi
  (6)mwananchi
  (7)mbunge
  (8)balozi nyumba kumikumi
   
 2. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  LIMBUKENI,
  Kuchambua hili ni KAZI KWELI KWELI.
  Nasubiri nione.
   
 3. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nitawapanga Mnyonyaji zaidi akiwa wa kwanza:
  1. mbunge
  2. raisi
  3. waziri mkuu

  na Mnyonywaji Mkuu ni:
  1. mwananchi
   
 4. L

  Limbukeni Senior Member

  #4
  May 29, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  tuna wabunge wawili hapa zitto kabwe na slaa ambaye alipendekeza unyonyaji huo upunguzwe watusaidie mada hii kutokana na majibu ya huyu mdau
   
Loading...