Hotuba za viongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba za viongozi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchaga, May 29, 2009.

 1. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hivi ni sahihi kusema marehemu mwalimu nyerere au hayati mwalimu nyerere.

  Katika hotuba yake ya mbio za mwenge mwanza leo, dr shein anamtaja baba wa taifa kama marehemu mwalimu nyerere, mimi nadhani ni sahihi angemtambulisha kwa utangulizi wa hayati.

  Ni vyema waandishi wa hotuba za viongozi wakawa makini katika kuandika hizi hotuba.

  Baba wa taifa na mwasisi wa mbio za mwenge hawezi kutajwa kama marehemu hili ni kosa kubwa sana, hata kama ni marehemu lazima apewe heshima yake ya pekee na atajwe kama hayati baba wa tiafa...:(

  au ndio zile dalili za kumchoka na kuchoka mambo aliyoyaasisi.
   
 2. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hotuba haina jipya ndefu mambo mengi na mengi ya kisiasa kwa sasa anazungumzia mauji ya albino...
   
 3. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hamna jipya katika hotuba ni siasa tu!
   
 4. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tuwalinde na kuwaenzi ndugu zetu maalbino...anaendelea, serikali imechukuwa hatua mbalimbali kama vile kukusanya sensa ya maalbino kwa kulinganisha na idadi ya vifo
   
Loading...