Kwenye Vita Dhidi ya Ufisadi........

Kwenye Vita Dhidi ya Ufisadi........

Ikena

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2007
Posts
553
Reaction score
398
Ni kwanini huwa hatuwakemei au zomea mawakili wa mafisadi?Huwa tunawaona Kisutu, jinsi gani wakiwatetea watuhumiwa, kwa mbwembwe nyingi huku wameshika mafaili na maji ya dasani, kwanini hasa vita yenu haiwalegi wao?Hivi hawa wanaoitwa mafisadi wangekosa mawakili wa kuwatetea mahakamani, mambo ya ufisadi na rushwa yangekuwepo? Kwanini hatuelekeze nguvu zetu kwa mawakili wenye payroll za mafisadi na badala yake tunaelekeza kwa mafisadi? Mbona mwandishi wa habari akilipwa kumtetea fisadi tunamkoma nyani?
 
Kaka wako kazini

hata wao wanajua wako agaist ila katika kutenda haki lazima wafanye hivyo ili kuonyesha kuwa mtu hajaonewa
 
Kaka wako kazini

hata wao wanajua wako agaist ila katika kutenda haki lazima wafanye hivyo ili kuonyesha kuwa mtu hajaonewa


Sasa uzalendo wao kwa nchi na vizazi vijavyo huwa ukoje??
Waandishi wanaowatetea au kuwasafisha na wao si wako kazini mkuu?
 
Back
Top Bottom