Vipi Naweza kutengeneza coctail ya konyagi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi Naweza kutengeneza coctail ya konyagi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sonara, May 28, 2009.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  weekend hii nitapata ugeni sasa nimeamuwa nitengeze coctail kwa kutumia konyagi ,jee yupo mtu atake weza kunisaidia vipi naweza kutengeneza coctail
   
 2. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2009
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  chukua kipande majani 2 ya mchunga, moja la gligilani ama mchai chai ponda kidogo kama mara 5, then weka kipande cha limau na ice cubes
  mwisho mwagia Konyagi ni coctail moja nzuri sanaaa.

  jaribu and waiting for the outcome.
   
 3. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu Bowbow !kwanza nakupa shukurani nyingi kwa mchango wako wa coctail wageni wangu walifurahi sana na kuniuliza ni vipi nilifanya ,wakanitaka niwandikie na wakanihakikishia wakirudi kwao wataijaribu katika Bar za kwao na kama itapendwa kama walivyo ipenda wao kuna uwezekana wa something good will come out of it.
   
Loading...