wadau,nilikua mpenzi mkubwa wa kipindi cha jenerali on monday,lakini juzi nimeshtuka kuona kimebadilishwa jina si jenerali on monday tena ila ni Channel ten on Monday.jamaa aliekua anakiendesha completely alionekana kupwaya na sijui hata kama alikua anajua anachokifanya.maana sikuona maswali chokonozi zaidi ya leading questions tu.
Japokua jenerali nae alishaanza kupoteza mwelekeo hasa baada ya mmbinyo wa Mkapa,lakini walau alikua ana bip bip,
sasa je,ulimwengu kaacha kukiendesha,au ndo mambo ya changes baada ya Somaiya kuinunua channel ten,na sio siri hii channel imepoteza completely mwelekeo ni kama haina uongozi,wale madogo pale sijui hata kama wanaelewa wanachokifanya.